Kusafirisha Gari dogo toka Dar es Salaam kupeleka Arusha

Msingida

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2010
Posts
10,239
Reaction score
11,731
Wadau wa usafirishaji, nina rafiki yangu anataka kusafirisha gari dogo toka Dar kupeleka Arusha kwa magari ya mizigo. Naombeni mwongozo, ni wapi usafiri huo kwa Dar unapatikana? Ni salama kwa gari dogo? litafika limebonyezwa na mizigo mingine? gharama inaweza fika kiasi gani?

NB:Lina hitilafu ya engine.

Natanguliza shukrani
 
Jangwani
 
Kama nzima si akanyage mwenyewe au atafute dereva waende?
 
Hapo sawa kwanini asilete Engine Dar kwajili ya kufanga kisha test iwe gari kwenda Arusha kwa kuendesha. Ni rahisi Engine kuja Dar kuliko Body kwenda chuga. Yangu mimi ni hayo tu.
Asante
No comments
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…