Tren sema dogodoro ndiyo kipengele hapo
Tumia mabus nauli mwekundu tuuWakuu kwema.
Ndgu yenu hapa naomba kujuzwa gharama nafuu za kusafirisha kitanda na godoro toka Morogoro mpaka Dar.
Ni usafiri gani wa bei rahisi naweza kuutumia na gharama zake zikoje lakini pia unapatikana maeneo gani hapo Moro??
NB. Mimi ni mgeni Morogoro.
Natanguliza shukran zangu kwenu wakuu.
Nakumbuka mm nilikua natoka tabora wakakataa godoro wanasema linaweza kuungua sijui likasababisha maafa nikaachana naoHakuna kipengele mbona linakuja vizuri na bei ya godoro uwa constant 10,000/=
Nishasafiri bure kutoka mosselbaai to cape town south africa kwa roli, dereva nilimpigisha stori njiani tukawa wana nauli yangu ajachukua 😀Tafuta lori, hata bure kinaenda cha muhimu uwe na stori nyingi.
Hapa karibu na ofisi za abood mjini panaitwa kwa marunda fuso zinazoleta mzigo toka dar zipo jumanne mpk jumapili ukienda unazikuta.Asanteni wakuu, acha niangalie option bora hapo, ila 30k parefu sana aisee ngoja nijaribu malory.
Mtu kusafiri toka Moro mpaka Dar nauli ni moja kwa abiria wote, kitanda na godoro gharama hutokana na ukubwa na uzito, hivyo jibu si rahisi kutoka kwangu.Wakuu kwema.
Ndgu yenu hapa naomba kujuzwa gharama nafuu za kusafirisha kitanda na godoro toka Morogoro mpaka Dar.
Ni usafiri gani wa bei rahisi naweza kuutumia na gharama zake zikoje lakini pia unapatikana maeneo gani hapo Moro??
NB. Mimi ni mgeni Morogoro.
Natanguliza shukran zangu kwenu wakuu.
Ilikuwa tsh 7000 kwa wiki moja sijui kama imeongezeka ulipia maliasili.Ukate risiti ya EfD ya kukisafirisha vinginevyo watu wa maliasili watakishusha hapo kibaha.
Godoro na kunguni nao ni kiasi gani?Ilikuwa tsh 7000 kwa wiki moja sijui kama imeongezeka ulipia maliasili.
Nakumbuka mm nilikua natoka tabora wakakataa godoro wanasema linaweza kuungua sijui likasababisha maafa nikaachana nao