Kusafirisha kitanda

Kusafirisha kitanda

Double N

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2018
Posts
290
Reaction score
550
Wakuu kwema.

Ndgu yenu hapa naomba kujuzwa gharama nafuu za kusafirisha kitanda na godoro toka Morogoro mpaka Dar.

Ni usafiri gani wa bei rahisi naweza kuutumia na gharama zake zikoje lakini pia unapatikana maeneo gani hapo Moro??

NB. Mimi ni mgeni Morogoro.

Natanguliza shukran zangu kwenu wakuu.
 
Ukate risiti ya EfD ya kukisafirisha vinginevyo watu wa maliasili watakishusha hapo kibaha.
 
Nyuma ya Buti za mabasi.., Bei yao haizidi 50, ingekua unatoka Dar ndio ingekua kubwa maana wanakua na mizigo mingi,

Mimi Changu ili kupunguza gharama walikifunga nyuma ya gari Kikawa kinaburuzwa.
 
Wakuu kwema.

Ndgu yenu hapa naomba kujuzwa gharama nafuu za kusafirisha kitanda na godoro toka Morogoro mpaka Dar.

Ni usafiri gani wa bei rahisi naweza kuutumia na gharama zake zikoje lakini pia unapatikana maeneo gani hapo Moro??

NB. Mimi ni mgeni Morogoro.

Natanguliza shukran zangu kwenu wakuu.
Tumia mabus nauli mwekundu tuu
 
Asanteni wakuu, acha niangalie option bora hapo, ila 30k parefu sana aisee ngoja nijaribu malory.
 
Wakuu kwema.

Ndgu yenu hapa naomba kujuzwa gharama nafuu za kusafirisha kitanda na godoro toka Morogoro mpaka Dar.

Ni usafiri gani wa bei rahisi naweza kuutumia na gharama zake zikoje lakini pia unapatikana maeneo gani hapo Moro??

NB. Mimi ni mgeni Morogoro.

Natanguliza shukran zangu kwenu wakuu.
Mtu kusafiri toka Moro mpaka Dar nauli ni moja kwa abiria wote, kitanda na godoro gharama hutokana na ukubwa na uzito, hivyo jibu si rahisi kutoka kwangu.

Hata hivyo tumia basi linalofika eneo unakoishi mfano Mbagala na Gongo la Mboto, malori utapata gharama za ziada kutoka Jangwani yanakoishia kwenda kwako.
 
Ukate risiti ya EfD ya kukisafirisha vinginevyo watu wa maliasili watakishusha hapo kibaha.
Ilikuwa tsh 7000 kwa wiki moja sijui kama imeongezeka ulipia maliasili.
 
Nakumbuka mm nilikua natoka tabora wakakataa godoro wanasema linaweza kuungua sijui likasababisha maafa nikaachana nao

Mmm aisee lbd ulikutana sijui na urasimu upi lkn ndo vitu tunavyosafirisha mara kwa mara ivo
 
Back
Top Bottom