Karibu tufanye biasharaNaomba msaada kwa anahejuwa kampuni inayohusika na usafirishaji wa makaa ya mawe anijulizhe ipo wapi au nipate namba za simu.
Natanguliza shukurani kwa member wote
Maswali ta muhimu sana nashangaa jamaa alitoka ndukini vyema ungekuwa muwazi kwenye ombi lako...
je unataka kazi ya udereva?
je unataka waunganishia gari lako/zako?
Makaa ya mawe yanaenda Zambia, Rwanda na Kenya, je unataka bebewa mzigo wako return trip kutokea huko?
Kuwa muwazi zaidi itasaidia pata ufumbuzi wa haraka
Na sehemu nilipo kuna makaa ya mawe lakini kama hayana deal vile