Kusafirisha Makaa ya Mawe nje ya nchi

Kusafirisha Makaa ya Mawe nje ya nchi

sniper4

New Member
Joined
Jun 14, 2020
Posts
2
Reaction score
3
Naomba msaada kwa anahejuwa kampuni inayohusika na usafirishaji wa makaa ya mawe anijulizhe ipo wapi au nipate namba za simu.
Natanguliza shukurani kwa member wote
 
Naomba msaada kwa anahejuwa kampuni inayohusika na usafirishaji wa makaa ya mawe anijulizhe ipo wapi au nipate namba za simu.
Natanguliza shukurani kwa member wote
Karibu tufanye biashara
 
ni vyema ungekuwa muwazi kwenye ombi lako...
je unataka kazi ya udereva?
je unataka waunganishia gari lako/zako?
Makaa ya mawe yanaenda Zambia, Rwanda na Kenya, je unataka bebewa mzigo wako return trip kutokea huko?

Kuwa muwazi zaidi itasaidia pata ufumbuzi wa haraka
 
Maswali ta muhimu sana nashangaa jamaa alitoka nduki
 
Na sehemu nilipo kuna makaa ya mawe lakini kama hayana deal vile
 
Back
Top Bottom