Kusafirisha maua kwa ndege hadi ulaya kunaletaje faida?

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Hebu nisaidieni nina shamba langu la maua Arusha au Nairobi natakiwa nisafirishe hayo maua kwenda ulaya (cargo) Sasa swali linakuja Yani pipa lichome wese toka Arusha au Nairobi mpaka Heathrow airport UK hivi faida napataje ? Sielewi hii biashara nisaidieni.
 
Kwa uzoefu wangu wa biashara:
Unapiga mahesabu gharama zote ulizotumia mpaka kukua kwa maua hayo kisha jumlisha gharama za usafiri toka shambani mpaka ulaya gawanya kwa kila package/bandle yako ya ua utayouza,utapata bei ya kila ua kabla hujauza na kabla ya kuweka faida yako ivyo jibu utalopata ndio utajua uweke faida ya kiasi gani kama ni x2 au x3 au x5 ya iyo.
Kila la kheri mkuu! !
 
Hebu nisaidieni nina shamba langu la maua Arusha au Nairobi natakiwa nisafirishe hayo maua kwenda ulaya (cargo) Sasa swali linakuja Yani pipa lichome wese toka Arusha au Nairobi mpaka Heathrow airport UK hivi faida napataje ? Sielewi hii biashara nisaidieni.
Unasafirisha Kama Cargo. JKIA (NBO) Wana storage facilities za kutunza perishable goods ikiwemo maua kabla ya kusafirisha Ughaibuni. Sitashangaa Yale maua Tokyo Olympic yalitoka Kenya. Huku Arusha mkiendekeza K-vant na bange.
**Wanasiasa Kenya japo wapigaji lakini wamewekeza kwenye biashara Hapo hapo kwao. Hapo ZAMUNDA Empire wanasiasa wanakwiba na kupeleka Uswizi, wakidhani wameyapatia maisha kumbe wkikata moto ghafla matrilioni yanapotea juu kwa juu
 
Yanaenda kununuliwa kwa Dola na sio Senti za madafu mzee.Dola 1 ni hela nyingi huku kwetu Angola
 
Kq hii ndo biashara Yao skuhz yani
Wakikosa abiria ndege znageuzwa
Kubeba maua na miraa
 
Hebu nisaidieni nina shamba langu la maua Arusha au Nairobi natakiwa nisafirishe hayo maua kwenda ulaya (cargo) Sasa swali linakuja Yani pipa lichome wese toka Arusha au Nairobi mpaka Heathrow airport UK hivi faida napataje ? Sielewi hii biashara nisaidieni.
Yana faida kubwa sana
 
Mkuu,kupanga bei kuna njia mbili,Angalia current market prices na demand,kisha angalia gharama zako(costs of production) pamoja na ubora.Baada ya hapo angalia malengo yako ya kibiashara then utajua price factor yako ni nini.

Cha muhimu Bei yako isiwe chini ya gharama zako za uendeshaji(profit) na isiwe juu sana ya bei ya sokoni ya wastani(ushindani).
 
Unasafirisha Kama Cargo. JKIA (NBO) Wana storage facilities za kutunza perishable goods ikiwemo maua kabla ya kusafirisha Ughaibuni. Sitashangaa Yale maua Tokyo Olympic yalitoka Kenya. Huku Arusha mkiendekeza K-vant na bange.
**Wanasiasa Kenya japo wapigaji lakini wamewekeza kwenye biashara Hapo hapo kwao. Hapo ZAMUNDA Empire wanasiasa wanakwiba na kupeleka Uswizi, wakidhani wameyapatia maisha kumbe wkikata moto ghafla matrilioni yanapotea juu kwa juu
Kitu kimoja ambacho hukijui mkuu ni kwamba wakenya wanakuja kuingia contract na makampuni ya kilimo cha maua hapa Arusha kama kiliflora, multiflower maua yakifika Nairobi yanakuwa packed upya kwenye label Kuwa yametoka na yamepandwa kenya na hapo ndio kenya wanatupiga bao
 
a

aisee wakenya wajanja sana duu kweli sisi tuko nyuma mno tutaweza kutoboa kwa hali hii
 
Ile sera ya kijamaa matokeo yake ndo kama haya katika swala la biashara hasa za Kimataifa kuna vitu ndoa tunazinduka kufanya sasa hv wakati kenya walianza kuanzia miaka ya 80s huko , ile sera ilidumaza sana akili zetu kuwaza kibiashara
 
KABISA YAANI MM NILISHANGAA KUONA SERIKALI ILIAMUA HIVI
 
Kitu kimoja ambacho hukijui mkuu ni kwamba wakenya wanakuja kuingia contract na makampuni ya kilimo cha maua hapa Arusha kama kiliflora, multiflower maua yakifika Nairobi yanakuwa packed upya kwenye label Kuwa yametoka na yamepandwa kenya na hapo ndio kenya wanatupiga bao
Halafu siyo maua tu hata parachichi za Njombe na vitunguu vya Mang'ola
 
Kitu kimoja ambacho hukijui mkuu ni kwamba wakenya wanakuja kuingia contract na makampuni ya kilimo cha maua hapa Arusha kama kiliflora, multiflower maua yakifika Nairobi yanakuwa packed upya kwenye label Kuwa yametoka na yamepandwa kenya na hapo ndio kenya wanatupiga bao
Usalama wa taifa wangekua makini na mambo ya msingi wangezuia hii kitu.
 
Hebu nisaidieni nina shamba langu la maua Arusha au Nairobi natakiwa nisafirishe hayo maua kwenda ulaya (cargo) Sasa swali linakuja Yani pipa lichome wese toka Arusha au Nairobi mpaka Heathrow airport UK hivi faida napataje ? Sielewi hii biashara nisaidieni.
Wanasafirisha kama mzigo na huwa yanaenda na zile Cargo line, na ndege unakuta ina mizigo mingine sio maua pekee.

Ila ile Biashara inahitaji mtaji wa kufa mtu, sio biashara ndogo hata kidogo
 
Kitu kimoja ambacho hukijui mkuu ni kwamba wakenya wanakuja kuingia contract na makampuni ya kilimo cha maua hapa Arusha kama kiliflora, multiflower maua yakifika Nairobi yanakuwa packed upya kwenye label Kuwa yametoka na yamepandwa kenya na hapo ndio kenya wanatupiga bao
Wazungu kwamba ni wajinga kiasi hicho? Nimefanya kazi na Multflower, ni kwamba Kenya kuna Cargo line za kutosha ndo maana ile ndo njia ya wao kuyasafirisha Ulaya. Yakitoka pale Mult flower yameisha kuwa packed yanasubiliwa na Mdalali kule Ulaya
 
a

aisee wakenya wajanja sana duu kweli sisi tuko nyuma mno tutaweza kutoboa kwa hali hii
Wakenya wana Exposure ya kutisga wale Jamaa ni nusu wazungu na nusu Waafrica, Wale sio levo zetu, Kama kipindi cha sikukuu kama Christmas na Pasaka walikuwa wana furika Arusha vibaya mno na wanaenda hadi Serengeti na Ngorongoro na wana lala, sisi tunangojea zile fungulia Mbwa.

Wana Exposure sana mimi huwa kuna vitu vingi najifinza kutoka kwao
 
Ile sera ya kijamaa matokeo yake ndo kama haya katika swala la biashara hasa za Kimataifa kuna vitu ndoa tunazinduka kufanya sasa hv wakati kenya walianza kuanzia miaka ya 80s huko , ile sera ilidumaza sana akili zetu kuwaza kibiashara
Ujamaa ni Mbaya sana na Cha ajabu mpale leo bado tunaendekeza Ujamaa, Wakenya hakuna Free service hadi vijijini maji ni ya kutoa pesa kwa kifupi wale wana ile spirt ya kupambana hadi alie kijijini unakuta ana pambana sawa na akie pale Nairobi.

Sisi ujamaa unatuharibu sana, China wenyewe wameukana ujamaa imebakia tu kwenye siasa hasa Chama kimoja ila mambo mengine yote ni Ubepari
 
Wakenya wana Exposure ya kutisga wale Jamaa ni nusu wazungu na nusu Waafrica, Wale sio levo zetu, Kama kipindi cha sikukuu kama Christmas na Pasaka walikuwa wana furika Arusha vibaya mno na wanaenda hadi Serengeti na Ngorongoro na wana lala, sisi tunangojea zile fungulia Mbwa.

Wana Exposure sana mimi huwa kuna vitu vingi najifinza kutoka kwao
sorry wanakwenda arusha kununua maua na kusafirisha au wanafanyaje mkuu?
 
Back
Top Bottom