Mkaruka
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 19,629
- 34,199
Halafu ukisikia Kenya Kenya, wanasafirishaaua mara wanapeleka sijui nini Ulaya.Wakenya wana Exposure ya kutisga wale Jamaa ni nusu wazungu na nusu Waafrica, Wale sio levo zetu, Kama kipindi cha sikukuu kama Christmas na Pasaka walikuwa wana furika Arusha vibaya mno na wanaenda hadi Serengeti na Ngorongoro na wana lala, sisi tunangojea zile fungulia Mbwa.
Wana Exposure sana mimi huwa kuna vitu vingi najifinza kutoka kwao
Sometimes usi-conclude kwamba ni Walenya weusi.
Unaweza kukuta ni mashamba makubwa ya wawekezaji wazungu ndio wanalima na kusafirisha Ulaya.
Usiwe na akili kama punda kihongwe.