Kwa uzoefu wangu wa biashara:Hebu nisaidieni nina shamba langu la maua Arusha au Nairobi natakiwa nisafirishe hayo maua kwenda ulaya (cargo) Sasa swali linakuja Yani pipa lichome wese toka Arusha au Nairobi mpaka Heathrow airport UK hivi faida napataje ? Sielewi hii biashara nisaidieni.
Unasafirisha Kama Cargo. JKIA (NBO) Wana storage facilities za kutunza perishable goods ikiwemo maua kabla ya kusafirisha Ughaibuni. Sitashangaa Yale maua Tokyo Olympic yalitoka Kenya. Huku Arusha mkiendekeza K-vant na bange.Hebu nisaidieni nina shamba langu la maua Arusha au Nairobi natakiwa nisafirishe hayo maua kwenda ulaya (cargo) Sasa swali linakuja Yani pipa lichome wese toka Arusha au Nairobi mpaka Heathrow airport UK hivi faida napataje ? Sielewi hii biashara nisaidieni.
Yanaenda kununuliwa kwa Dola na sio Senti za madafu mzee.Dola 1 ni hela nyingi huku kwetu AngolaHebu nisaidieni nina shamba langu la maua Arusha au Nairobi natakiwa nisafirishe hayo maua kwenda ulaya (cargo) Sasa swali linakuja Yani pipa lichome wese toka Arusha au Nairobi mpaka Heathrow airport UK hivi faida napataje ? Sielewi hii biashara nisaidieni.
Yana faida kubwa sanaHebu nisaidieni nina shamba langu la maua Arusha au Nairobi natakiwa nisafirishe hayo maua kwenda ulaya (cargo) Sasa swali linakuja Yani pipa lichome wese toka Arusha au Nairobi mpaka Heathrow airport UK hivi faida napataje ? Sielewi hii biashara nisaidieni.
Mkuu,kupanga bei kuna njia mbili,Angalia current market prices na demand,kisha angalia gharama zako(costs of production) pamoja na ubora.Baada ya hapo angalia malengo yako ya kibiashara then utajua price factor yako ni nini.Hebu nisaidieni nina shamba langu la maua Arusha au Nairobi natakiwa nisafirishe hayo maua kwenda ulaya (cargo) Sasa swali linakuja Yani pipa lichome wese toka Arusha au Nairobi mpaka Heathrow airport UK hivi faida napataje ? Sielewi hii biashara nisaidieni.
Kitu kimoja ambacho hukijui mkuu ni kwamba wakenya wanakuja kuingia contract na makampuni ya kilimo cha maua hapa Arusha kama kiliflora, multiflower maua yakifika Nairobi yanakuwa packed upya kwenye label Kuwa yametoka na yamepandwa kenya na hapo ndio kenya wanatupiga baoUnasafirisha Kama Cargo. JKIA (NBO) Wana storage facilities za kutunza perishable goods ikiwemo maua kabla ya kusafirisha Ughaibuni. Sitashangaa Yale maua Tokyo Olympic yalitoka Kenya. Huku Arusha mkiendekeza K-vant na bange.
**Wanasiasa Kenya japo wapigaji lakini wamewekeza kwenye biashara Hapo hapo kwao. Hapo ZAMUNDA Empire wanasiasa wanakwiba na kupeleka Uswizi, wakidhani wameyapatia maisha kumbe wkikata moto ghafla matrilioni yanapotea juu kwa juu
aisee wakenya wajanja sana duu kweli sisi tuko nyuma mno tutaweza kutoboa kwa hali hiiKitu kimoja ambacho hukijui mkuu ni kwamba wakenya wanakuja kuingia contract na makampuni ya kilimo cha maua hapa Arusha kama kiliflora, multiflower maua yakifika Nairobi yanakuwa packed upya kwenye label Kuwa yametoka na yamepandwa kenya na hapo ndio kenya wanatupiga bao
Ile sera ya kijamaa matokeo yake ndo kama haya katika swala la biashara hasa za Kimataifa kuna vitu ndoa tunazinduka kufanya sasa hv wakati kenya walianza kuanzia miaka ya 80s huko , ile sera ilidumaza sana akili zetu kuwaza kibiasharaa
aisee wakenya wajanja sana duu kweli sisi tuko nyuma mno tutaweza kutoboa kwa hali hii
KABISA YAANI MM NILISHANGAA KUONA SERIKALI ILIAMUA HIVIIle sera ya kijamaa matokeo yake ndo kama haya katika swala la biashara hasa za Kimataifa kuna vitu ndoa tunazinduka kufanya sasa hv wakati kenya walianza kuanzia miaka ya 80s huko , ile sera ilidumaza sana akili zetu kuwaza kibiashara
Halafu siyo maua tu hata parachichi za Njombe na vitunguu vya Mang'olaKitu kimoja ambacho hukijui mkuu ni kwamba wakenya wanakuja kuingia contract na makampuni ya kilimo cha maua hapa Arusha kama kiliflora, multiflower maua yakifika Nairobi yanakuwa packed upya kwenye label Kuwa yametoka na yamepandwa kenya na hapo ndio kenya wanatupiga bao
Usalama wa taifa wangekua makini na mambo ya msingi wangezuia hii kitu.Kitu kimoja ambacho hukijui mkuu ni kwamba wakenya wanakuja kuingia contract na makampuni ya kilimo cha maua hapa Arusha kama kiliflora, multiflower maua yakifika Nairobi yanakuwa packed upya kwenye label Kuwa yametoka na yamepandwa kenya na hapo ndio kenya wanatupiga bao
Wanasafirisha kama mzigo na huwa yanaenda na zile Cargo line, na ndege unakuta ina mizigo mingine sio maua pekee.Hebu nisaidieni nina shamba langu la maua Arusha au Nairobi natakiwa nisafirishe hayo maua kwenda ulaya (cargo) Sasa swali linakuja Yani pipa lichome wese toka Arusha au Nairobi mpaka Heathrow airport UK hivi faida napataje ? Sielewi hii biashara nisaidieni.
Wazungu kwamba ni wajinga kiasi hicho? Nimefanya kazi na Multflower, ni kwamba Kenya kuna Cargo line za kutosha ndo maana ile ndo njia ya wao kuyasafirisha Ulaya. Yakitoka pale Mult flower yameisha kuwa packed yanasubiliwa na Mdalali kule UlayaKitu kimoja ambacho hukijui mkuu ni kwamba wakenya wanakuja kuingia contract na makampuni ya kilimo cha maua hapa Arusha kama kiliflora, multiflower maua yakifika Nairobi yanakuwa packed upya kwenye label Kuwa yametoka na yamepandwa kenya na hapo ndio kenya wanatupiga bao
Wakenya wana Exposure ya kutisga wale Jamaa ni nusu wazungu na nusu Waafrica, Wale sio levo zetu, Kama kipindi cha sikukuu kama Christmas na Pasaka walikuwa wana furika Arusha vibaya mno na wanaenda hadi Serengeti na Ngorongoro na wana lala, sisi tunangojea zile fungulia Mbwa.a
aisee wakenya wajanja sana duu kweli sisi tuko nyuma mno tutaweza kutoboa kwa hali hii
Ujamaa ni Mbaya sana na Cha ajabu mpale leo bado tunaendekeza Ujamaa, Wakenya hakuna Free service hadi vijijini maji ni ya kutoa pesa kwa kifupi wale wana ile spirt ya kupambana hadi alie kijijini unakuta ana pambana sawa na akie pale Nairobi.Ile sera ya kijamaa matokeo yake ndo kama haya katika swala la biashara hasa za Kimataifa kuna vitu ndoa tunazinduka kufanya sasa hv wakati kenya walianza kuanzia miaka ya 80s huko , ile sera ilidumaza sana akili zetu kuwaza kibiashara
Shida ni kwamba wale Jamaa Exposure inawasaidia sana, Hebu niambie pale Mang'ora kuna mkulima anaweza export vitunguu? Tulikosea tangu zamani mkuu,Halafu siyo maua tu hata parachichi za Njombe na vitunguu vya Mang'ola
sorry wanakwenda arusha kununua maua na kusafirisha au wanafanyaje mkuu?Wakenya wana Exposure ya kutisga wale Jamaa ni nusu wazungu na nusu Waafrica, Wale sio levo zetu, Kama kipindi cha sikukuu kama Christmas na Pasaka walikuwa wana furika Arusha vibaya mno na wanaenda hadi Serengeti na Ngorongoro na wana lala, sisi tunangojea zile fungulia Mbwa.
Wana Exposure sana mimi huwa kuna vitu vingi najifinza kutoka kwao