Kusafirisha maua kwa ndege hadi ulaya kunaletaje faida?

Halafu ukisikia Kenya Kenya, wanasafirishaaua mara wanapeleka sijui nini Ulaya.

Sometimes usi-conclude kwamba ni Walenya weusi.

Unaweza kukuta ni mashamba makubwa ya wawekezaji wazungu ndio wanalima na kusafirisha Ulaya.

Usiwe na akili kama punda kihongwe.
 
mzee siyo swala hilo tu ..Kenya wametuzidi vitu vingi sanaa ...

haina haja ya kukaza vichwa

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
mzee siyo swala hilo tu ..Kenya wametuzidi vitu vingi sanaa ...

haina haja ya kukaza vichwa

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
Kenya wanatuzidi nini ??

Ni kweli Kenya wanatuzidi maana hata ardhi wanasiasa wamegawana yote huku wengine wanaishi kwa vipande kwa Land lords.

Mbona kwenu mnazidiwa na kwa jirani. Baba yako alikuwa wapi ??

Siku zote kwenye maisha kutakuwa na mtu unamzidi na anayekuzidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…