Kusafirisha Mchele kutoka Mbeya kuja Dar es Salaam

Kusafirisha Mchele kutoka Mbeya kuja Dar es Salaam

Tumia TAZARA... Reli ni nafuu kidogo ila ikifika Dar uandae usafiri pia wa kutoka tzr mpka dukani
 
Tumia TAZARA... Reli Ni nafuu kidogo ila ikifika dar uandae usafiri pia wa kutoka tzr mpka dukani
Kutumia TAZARA mbona unajipa tu gharama coz kutoka kapunga or ubaruku mpaka station ya tazara ulipe alaf ukalipie tena train ni afadhali utumie tu lori mbona meng sana.
 
Ishu kubwa ni ubora wa huo mchele, kama unaagiza tu mtu akutumie basi ushakwama.
 
Simple tu mbona magari yapo mengi tu, ni zile transit huwa zinarud Dar empty sometimes na sizan kama inazidi elfu kumi kusafirisha kilo mia za kipeto kimoja.

Hakuna sehem yenye mchele haina magari, muda sahh wa kuanza biashara ni sasa kwani mchele ni bei chee sana kwa sasa nadhani bei ya juu ni 1200.
Dah nilipata mshituko wa moyo ghafla hadi nimekumbuka kucheki tarehe ndio nikajua kumbe ni comment ya muda mrefu sana.
 
Back
Top Bottom