Kusafirisha Mchele kutoka Mbeya kuja Dar es Salaam

Tumia TAZARA... Reli ni nafuu kidogo ila ikifika Dar uandae usafiri pia wa kutoka tzr mpka dukani
 
Tumia TAZARA... Reli Ni nafuu kidogo ila ikifika dar uandae usafiri pia wa kutoka tzr mpka dukani
Kutumia TAZARA mbona unajipa tu gharama coz kutoka kapunga or ubaruku mpaka station ya tazara ulipe alaf ukalipie tena train ni afadhali utumie tu lori mbona meng sana.
 
Ishu kubwa ni ubora wa huo mchele, kama unaagiza tu mtu akutumie basi ushakwama.
 
Dah nilipata mshituko wa moyo ghafla hadi nimekumbuka kucheki tarehe ndio nikajua kumbe ni comment ya muda mrefu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…