Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda GSM bro. Kama upo Dar nenda ofisi zao karibu na CCM Lumumba. Na mizigo hawa jamaa wapo Guangzhou, Yiwu.Habari,
Naomba msaada wa kufahamishwa kampuni inayoweza kusafirisha mzigo kutoka China kwa uhakika na kwa gharama nafuu. Ni mashine mbili ambazo zinafit kwenye 1 CBM hivo ingependeza kufahamishwa bei per CBM.
Ahsante