M mama dunia JF-Expert Member Joined Dec 22, 2011 Posts 420 Reaction score 84 Feb 25, 2015 #1 Hi wadau. Je unajua mtu au kampuni ya uhakika inayosafirisha mizigo from INDIA to Dar es salaam na kama ndio na charges zao kwa CBM inakuwaje. Rgds mama dunia
Hi wadau. Je unajua mtu au kampuni ya uhakika inayosafirisha mizigo from INDIA to Dar es salaam na kama ndio na charges zao kwa CBM inakuwaje. Rgds mama dunia
Z zavi JF-Expert Member Joined Jun 7, 2014 Posts 496 Reaction score 344 Feb 25, 2015 #2 Tafadhari hata nami nahitaji taharifa kuhusu hili, ukifanikiwa kujua nje ya Jf nitaarifu na mimi.
pleo JF-Expert Member Joined Jun 20, 2013 Posts 3,444 Reaction score 2,737 Oct 8, 2015 #3 mama dunia said: Hi wadau. Je unajua mtu au kampuni ya uhakika inayosafirisha mizigo from INDIA to Dar es salaam na kama ndio na charges zao kwa CBM inakuwaje. Rgds mama dunia Click to expand... habari, ulifanikiwa kupata msafirishaji?, maana nami ninahitaji kusafirisha toka huko mita za ujazo chache.
mama dunia said: Hi wadau. Je unajua mtu au kampuni ya uhakika inayosafirisha mizigo from INDIA to Dar es salaam na kama ndio na charges zao kwa CBM inakuwaje. Rgds mama dunia Click to expand... habari, ulifanikiwa kupata msafirishaji?, maana nami ninahitaji kusafirisha toka huko mita za ujazo chache.