Anonymous Caller
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 679
- 870
Habarini za mchana.
Nimewaza kufanya biashara tajwa, ya safirisha samaki kwa ndege kutoka mwanza kwenda dsm bila kutumia freezer.
Vibali vipo ila sina uzoefu na usafirishaji wa njia hii.
Je kwa mtaji uliopo wa milion mbili inawezekana? Naomba mwenye ABC za biashara hii anipe mbinu,cost,risk, na changamoto zake.
Nimefarijika kusikia serikali imenunua ndege maalum ya mizigo.
Karibuni wadau.