Kwa mtu asiejua pingu kuropoka hivi ni kawaida ila kama ungejua pingu vizuri huwezi sema hayo. Na bado wamefungwa pamoja na huyo askari hayuko mikono mitupu usikae kiboyaWakishindwa kutoroka ni uboya wao
Duh poleNilitolewa central Dar underground nikapelekwa mpaka ubungo nimevalishwa bangili haoooo tukapanda zetu shabbiby mpaka Dodoma, RIP inspekta vitus
Huyo anaye waescort sidhan kama ni askari,kwajinsi nilivyomwona ni kama alikuwa mwenyekiti wa kijijiKwa mtu asiejua pingu kuropoka hivi ni kawaida ila kama ungejua pingu vizuri huwezi sema hayo. Na bado wamefungwa pamoja na huyo askari hayuko mikono mitupu usikae kiboya
Askari mgambo huyo wa kitambo,,mzalendo,,mnywa maji ya bendera,, hapo malipo sidhani kama inazidi 10000!!!Huyo anaye waescort sidhan kama ni askari,kwajinsi nilivyomwona ni kama alikuwa mwenyekiti wa kijiji
Ok asante kwa ufafanuzi manake nilivyomtathimini nilimwona kama raia wa kawaida,kumbe ni Askari mgambo🙏Askari mgambo huyo wa kitambo,,mzalendo,,mnywa maji ya bendera,, hapo malipo sidhani kama inazidi 10000!!!
Aibu kwa nani?Hii ni aibu sana wakuu siyo jambo lakuchekelea!!
Halafu kuna watu wanapiga mabilioni huko serikalini adhabu zao....... Ngoja niishie hapaUtakuta case ndogo ndogo tu.
Hapa kuna cha kujifunza.ikiwa gari tu la doria linakosa mafuta haya lakuwafuata hao watuhumiwa linatoka wapi
Lazima uishie hapo naana kosa ni la kwetu sisi wananchi tunaowapigia kura wabunge ambao tunajua kuwa huyu ni kwa maslahi yake binafi na sio kwa Taifa, na utaratibu upo wa kisheria wa kumkataa kama hatufai na hatujawakataa.Halafu kuna watu wanapiga mabilioni huko serikalini adhabu zao....... Ngoja niishie hapa
Kaka tz hakuna uchaguzi ni maigizo tu, kungekuwa na uchaguzi znz ingeongozwa na cuf kitambo sanaLazima uishie hapo naana kosa ni la kwetu sisi wananchi tunaowapigia kura wabunge ambao tunajua kuwa huyu ni kwa maslahi yake binafi na sio kwa Taifa, na utaratibu upo wa kisheria wa kumkataa kama hatufai na hatujawakataa.
Halafu tunajisahaulisha kuwa hao ndio wanaotunga sheri.
Huko usiongelee znz wanajitambua sana wale jamaa, wana shida tu ya viongozi wao. Znz ni nchi moja rahisi sana kuiongoza maana wananchi wake ni waelewa.Kaka tz hakuna uchaguzi ni maigizo tu, kungekuwa na uchaguzi znz ingeongozwa na cuf kitambo sana
Serekali yako na nchi kiujumla umaskini mbaya Sana.Aibu kwa nani?
Ila ni camera ambayo naona inatoa natural colors bila kuremba rwmba pichaBadirisha simu mkuu,mboma kamera mbovu ivo...unatumia simu gan kwan?
Daaah kaka acha tu, naogopa kusema hapa usije kuwa mmoja wa watesi wangu.Duh pole
Ulikuwa msala gani tena
Ova
Umasikini sio 7bu, tatizo kubwa kuliko yote ni UBINAFSI.Serekali yako na nchi kiujumla umaskini mbaya Sana.
Lazima itakua Mambo ya kuuziana simu za mkononi!!Duh pole
Ulikuwa msala gani tena
Ova
🤣🤣Achana na jamaa huyo,kamera ni nzima na simu ni og,kamera ina uwezo wa kuremba ila hadi uselect sehemu ya beauty,usiposelect inakutolea picha kama ilivyo.Ila ni camera ambayo naona inatoa natural colors bila kuremba rwmba picha