KUSAFISHA MASIKIO

mpimamstaafu

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2018
Posts
4,445
Reaction score
4,707
Wadau naomba kujua dawa sahihi ya kusafisha masikio hata kama hayaumi ila ni suala la kuyaweka safi kuondoa nta (wax).
 
Hutakiwi kuondoa 'wax' kwenye masikio!

Kama una masikio sikia.
 
Anamasikio ila jamejaa uchafu - Nta, hasikii, ndiyo maana anaulizia dawa ya kusafisha
Lengo sio kuondoa wax ni usafi tu wa kawaida badala ya kutumia zile njiti zenye pamba nilidhani kama kuna dawa ya matone
 
Lengo sio kuondoa wax ni usafi tu wa kawaida badala ya kutumia zile njiti zenye pamba nilidhani kama kuna dawa ya matone

Mimi nilisafisha sikio kwa pamba likawa limeziba kabisa. Daktari alinishauri nisilisafishe tena. Pia niliwahi kusikia redioni mtaalam wa masikio anasema sikio halitakiwi kusafishwa, kama uchafu ukizidi hilo ni tatizo unapaswa kwenda hospitali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…