mpimamstaafu
JF-Expert Member
- Jul 18, 2018
- 4,445
- 4,707
Wadau naomba kujua dawa sahihi ya kusafisha masikio hata kama hayaumi ila ni suala la kuyaweka safi kuondoa nta (wax).
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hutakiwi kuondoa 'wax' kwenye masikio!
Kama una masikio sikia.
Lengo sio kuondoa wax ni usafi tu wa kawaida badala ya kutumia zile njiti zenye pamba nilidhani kama kuna dawa ya matoneAnamasikio ila jamejaa uchafu - Nta, hasikii, ndiyo maana anaulizia dawa ya kusafisha
Lengo sio kuondoa wax ni usafi tu wa kawaida badala ya kutumia zile njiti zenye pamba nilidhani kama kuna dawa ya matone