Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
Unakuta pochi ya mama au mdada kwa nje ni nzurii na ni ya bei ila huko ndani ni majanga. Mafoundation yamemwagika huko ,malipstick marangi. Mwingine aliweka msosi kwnye sherehe kikamwagika huko, mwingine alitupia huko pedi chafu imegandiana yaani vurugu tupu.
Wanaume nao wallet toka alipoinunua haijawai kupitishwa maji hadi ina kunguni
hebu wadau tusaidiane ni jinsi gani ya kusafisha pochi na wallet maana hili jambo limekuwa mtihani kwa wengi.
Saa zingine inabidi tu utupe pochi maana haisafishiki ndani.