Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
- Thread starter
- #21
halafu kumbe kukaa na wallet iliyochoka ni badluck unakuwa hupati hela so badilisheni hizo walletDuuuh!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Za kiume zafuliwa atiee?????
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
halafu kumbe kukaa na wallet iliyochoka ni badluck unakuwa hupati hela so badilisheni hizo walletDuuuh!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Za kiume zafuliwa atiee?????
Long time nahisi zimepitia hapo hata m100 hivi na imeanza kuchoka ila naihusudu kweli... Sijawahi iloanisha na maji labda ninyeshewe ipate ya bahati mbaya tena suna tuuuuuuuuuuuuuuuu...... Tangu 2006 au 7 hivi..... hahahahahahahaaaaaaaaaaaaaatoka ununue ni mwaka wa ngapi mkuu?
AHAHAAA BADILISHA HYO UNAKOSA BAHATI MKUULong time nahisi zimepitia hapo hata m100 hivi na imeanza kuchoka ila naihusudu kweli... Sijawahi iloanisha na maji labda ninyeshewe ipate ya bahati mbaya tena suna tuuuuuuuuuuuuuuuu...... Tangu 2006 au 7 hivi..... hahahahahahahaaaaaaaaaaaaaa
SASA POCHI LA NINI TENA SHOSTI KAMA VITU UTAWEKA PEMBENI?Ni vyema kama una gari basi some cosmetics and staffs zako uziweke kwenye gari kuliko kwenye mkoba maana kwenye pochi ni rahisi sana vitu kama powder kumwagika,weka vile pekee ambavyo havimwagiki wala kuchafua handbag kwa urahisi kama Lip shine n.k
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hahahhhah Mungu anakuona ujuehalafu kumbe kukaa na wallet iliyochoka ni badluck unakuwa hupati hela so badilisheni hizo wallet
hata chupi used zinawekwa mkuuWallet zenu wanaume haziwezi kuwa chafu wala na hao kunguni as long as noti zinawekwa...
Nyie ndo msafishe....na hivi umefungua aisee nlikua cjui kama hata pedi used mnawekaga humo, aisee mdada acje niomba nimshkie kwenye daladala....hapana kwkweri.
ndo nataka nijifunze jinsi ya kuosha mkuuMtoa mada chukua fursa hiyo fungua goli kama LA wale wanaowasafisha kucha Madada zetu utapata vichwa tu vinavyotaka kutatuliwa utafiti wako ulioufanya.
Sijui ulikuwa unasaka nauli kwenye pochi ya mamsapu mana sio mbio ulizokuja nazo.
Sent using Jamii Forums mobile app
halafu kumbe kukaa na wallet iliyochoka ni badluck unakuwa hupati hela so badilisheni hizo wallet
we dogo naona unatafuta kiki ngoja nikuweke kwenye ignore list kwanzaWanawake wachafu ndo bad luck,... Sio wallet ,..wallet mpya kwanza azijui kutunza pesa,... Ukiwa na mwanamme mchafu, kimwili na kiroho,.. Hela utaipatia wapi,utaisikia kwa wenzako tu,
Aseeh ngoja na Mimi nifaye ivowe dogo naona unatafuta kiki ngoja nikuweke kwenye ignore list kwanza
Pochi ina Vingi vya kuweka tofauti na viavyomwagika na kuondoa maana nzima ya unadhifuSASA POCHI LA NINI TENA SHOSTI KAMA VITU UTAWEKA PEMBENI?
ahaaaa kula bnaDuh kumbe ndio matumizi ya Mikoba yenu hiyo..!!?
Mpaka Pedi!!!!!!?
View attachment 557326
Kuna dada amenipa biskut hapa ametoa kwenye hand bag yake.. najishauli niile ama niitupe?? Nimemzuga nawapelekea watoto nyumbani... Lol!!
ahaaaa kula bna
Hahahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaa yaani inabahati hadi naiita kizizi na ndio maana nachelea kuibadilisha....AHAHAAA BADILISHA HYO UNAKOSA BAHATI MKUU