Kusafisha pochi za kinamama na walet

Kusafisha pochi za kinamama na walet

toka ununue ni mwaka wa ngapi mkuu?
Long time nahisi zimepitia hapo hata m100 hivi na imeanza kuchoka ila naihusudu kweli... Sijawahi iloanisha na maji labda ninyeshewe ipate ya bahati mbaya tena suna tuuuuuuuuuuuuuuuu...... Tangu 2006 au 7 hivi..... hahahahahahahaaaaaaaaaaaaaa
 
AHAHAAA BADILISHA HYO UNAKOSA BAHATI MKUU
 
Ni vyema kama una gari basi some cosmetics and staffs zako uziweke kwenye gari kuliko kwenye mkoba maana kwenye pochi ni rahisi sana vitu kama powder kumwagika,weka vile pekee ambavyo havimwagiki wala kuchafua handbag kwa urahisi kama Lip shine n.k

Sent using Jamii Forums mobile app
 
SASA POCHI LA NINI TENA SHOSTI KAMA VITU UTAWEKA PEMBENI?
 
inategemeana na pochi! mie napenda zaid leathet unaigeza nje ndan unaifua fresh tu unasonga!nafuaga mie sion kunyonyoka
 
Mtoa mada chukua fursa hiyo fungua goli kama LA wale wanaowasafisha kucha Madada zetu utapata vichwa tu vinavyotaka kutatuliwa utafiti wako ulioufanya.

Sijui ulikuwa unasaka nauli kwenye pochi ya mamsapu mana sio mbio ulizokuja nazo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wallet zenu wanaume haziwezi kuwa chafu wala na hao kunguni as long as noti zinawekwa...

Nyie ndo msafishe....na hivi umefungua aisee nlikua cjui kama hata pedi used mnawekaga humo, aisee mdada acje niomba nimshkie kwenye daladala....hapana kwkweri.
 
hata chupi used zinawekwa mkuu
 
Mtoa mada chukua fursa hiyo fungua goli kama LA wale wanaowasafisha kucha Madada zetu utapata vichwa tu vinavyotaka kutatuliwa utafiti wako ulioufanya.

Sijui ulikuwa unasaka nauli kwenye pochi ya mamsapu mana sio mbio ulizokuja nazo.

Sent using Jamii Forums mobile app
ndo nataka nijifunze jinsi ya kuosha mkuu
 
halafu kumbe kukaa na wallet iliyochoka ni badluck unakuwa hupati hela so badilisheni hizo wallet

Wanawake wachafu ndo bad luck,... Sio wallet ,..wallet mpya kwanza azijui kutunza pesa,... Ukiwa na mwanamke mchafu, kimwili na kiroho,.. Hela utaipatia wapi,utaisikia kwa wenzako tu,bwahahaha
 
Wanawake wachafu ndo bad luck,... Sio wallet ,..wallet mpya kwanza azijui kutunza pesa,... Ukiwa na mwanamme mchafu, kimwili na kiroho,.. Hela utaipatia wapi,utaisikia kwa wenzako tu,
we dogo naona unatafuta kiki ngoja nikuweke kwenye ignore list kwanza
 
Duh kumbe ndio matumizi ya Mikoba yenu hiyo..!!?

Mpaka Pedi!!!!!!?

come-to-america.gif

Kuna dada amenipa biskut hapa ametoa kwenye hand bag yake.. najishauli niile ama niitupe?? Nimemzuga nawapelekea watoto nyumbani... Lol!!
 
Back
Top Bottom