Kusafisha taa za gari

Msaada wataalam, taa za mbele zina kama vumbi kwa ndani na nataka kufuta hilo vumbi, je kuna uwezekano wa kufungua kioo nikafuta kwa ndani kisha nikagundisha tena?
Nenda gereji yoyote waulizie huduma ya kusafisha taa kwa ndani sio nje peke yake
 
Msaada wataalam, taa za mbele zina kama vumbi kwa ndani na nataka kufuta hilo vumbi, je kuna uwezekano wa kufungua kioo nikafuta kwa ndani kisha nikagundisha tena?
Mzee kufungua hicho kioo siyo mchezo.

Kinafunguka kwa Oven, Unakioka kama mkate, Then ndio unaweza ukabandua gundi yake.

Na ukishabandua kukirudishia biashara ni hiyohiyo.

Shida tu hujatuambia gari yako ni gani?

Ila mchina hizo headlight lens cover anaziuza sana halafu ni bei chee.

Unatia kioo kipya taa inakuwa mpya kabisa. Hii ishu naplan kuifanya miezi si mingi.

Pia kwa wale ambao taa zao zina maji ndani, watumie dessicant gel, Maji yataondoka faster sana.
 
Kata kiazi mbatata halafu sugulia kwenye taa then futa Kwa tissue.Ama chukua Colgate changanya na jivu sungua na kitambaa.
 
Ndio pia kuna maji kwa chini. Yaani ni full ukungu. Halafu kwenye hizi head light. Pia naomba kuuliza kwenye hizi headlight kunakuwa na kibati fulani mbele ya [emoji362] kinakuwa na kazi gani nahisi kama kinazuia mwanga, maana kiko kwa mbele ya bulb.
 
Hicho kibati hakina shida, nadhani ni mambo tu ya reflection ya mwanga. Taa nyingi tu zipo hivo.
 
Hicho kibati ni deflector. Umeshaona wale wanaorekodi video au kupiga picha wakiwa wanafanya kazi zao huwa kuna muda wanatumia vitu kama miamvuli kutawanya mwanga. Ndio kazi yake hiyo.

Hicho kibati kinachukua mwanga kutoka katika bulb kinaurudisha kwenye hilo bakuli la taa lenye rangi ya silver ili liutawanye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…