Kusafisha taa za gari

Nashukuru mkuu nimetumia technic yako nimefanikiwa kuifungua. Ule mng'ao wake ndani umekwajuka sana kilichobaki ni kubadili kioo mng'ao. Sijui wanauza wap
 
Nashukuru mkuu nimetumia technic yako nimefanikiwa kuifungua. Ule mng'ao wake ndani umekwajuka sana kilichobaki ni kubadili kioo mng'ao. Sijui wanauza wap
Vioo vinauzwa mkuu, Hawa watu wa Car Styling wanakuwa navyo. Otherwise uagize. Huwa naviona sana Alibaba.
 
Maana taa za pikipiki hazina hicho kibati lakini mwanga wake ni mkali wa kutosha.
Ukikitoa hicho kibati, au usipokitoa...hautaona tofauti yoyote ya mwanga.,
Suala la mwanga kuwa mdogo ni vumbi kuingia kwenye lens, au kioo kuwa kimeshapauka au bulb kuwa na uwezo mdogo
Safisha taa kwa wataalamu utaona tofauti
 
Kuna jamaa anaifanya tabata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…