Kusafisha taa za gari

Kusafisha taa za gari

Mzee kufungua hicho kioo siyo mchezo.

Kinafunguka kwa Oven, Unakioka kama mkate, Then ndio unaweza ukabandua gundi yake.

Na ukishabandua kukirudishia biashara ni hiyohiyo.

Shida tu hujatuambia gari yako ni gani?

Ila mchina hizo headlight lens cover anaziuza sana halafu ni bei chee.

View attachment 2597662

Unatia kioo kipya taa inakuwa mpya kabisa. Hii ishu naplan kuifanya miezi si mingi.

Pia kwa wale ambao taa zao zina maji ndani, watumie dessicant gel, Maji yataondoka faster sana.
Nashukuru mkuu nimetumia technic yako nimefanikiwa kuifungua. Ule mng'ao wake ndani umekwajuka sana kilichobaki ni kubadili kioo mng'ao. Sijui wanauza wap
 
Nashukuru mkuu nimetumia technic yako nimefanikiwa kuifungua. Ule mng'ao wake ndani umekwajuka sana kilichobaki ni kubadili kioo mng'ao. Sijui wanauza wap
Vioo vinauzwa mkuu, Hawa watu wa Car Styling wanakuwa navyo. Otherwise uagize. Huwa naviona sana Alibaba.
 
Maana taa za pikipiki hazina hicho kibati lakini mwanga wake ni mkali wa kutosha.
Ukikitoa hicho kibati, au usipokitoa...hautaona tofauti yoyote ya mwanga.,
Suala la mwanga kuwa mdogo ni vumbi kuingia kwenye lens, au kioo kuwa kimeshapauka au bulb kuwa na uwezo mdogo
Safisha taa kwa wataalamu utaona tofauti
 
Mzee kufungua hicho kioo siyo mchezo.

Kinafunguka kwa Oven, Unakioka kama mkate, Then ndio unaweza ukabandua gundi yake.

Na ukishabandua kukirudishia biashara ni hiyohiyo.

Shida tu hujatuambia gari yako ni gani?

Ila mchina hizo headlight lens cover anaziuza sana halafu ni bei chee.

View attachment 2597662

Unatia kioo kipya taa inakuwa mpya kabisa. Hii ishu naplan kuifanya miezi si mingi.

Pia kwa wale ambao taa zao zina maji ndani, watumie dessicant gel, Maji yataondoka faster sana.
Kuna jamaa anaifanya tabata
 
Back
Top Bottom