Kusaga ampigia simu Diamond Platnumz akiwa live Clouds FM

hv Mo n mmiliki wa Simba au ni muwekezaji
 
hv Mo n mmiliki wa Simba au ni muwekezaji
simba inamilikiwa na wanachama...inaendeshwa katika mfumo ambao unaruhusu uwekezaji,hata wewe ukiwa na hela zako unaweza enda pale simba ukanunua share nyingi ukamtoa moo ni hela yako tu
 
simba inamilikiwa na wanachama...inaendeshwa katika mfumo ambao unaruhusu uwekezaji,hata wewe ukiwa na hela zako unaweza enda pale simba ukanunua share nyingi ukamtoa moo ni hela yako tu
umejinasa mwenyewe, hapo ndo ujue kuna tofauti kati ya mwekezaji na mmiliki kunguru wewe
 
simba inamilikiwa na wanachama...inaendeshwa katika mfumo ambao unaruhusu uwekezaji,hata wewe ukiwa na hela zako unaweza enda pale simba ukanunua share nyingi ukamtoa moo ni hela yako tu
kwa nn wanamiliki wananchi na ikiwa Mo ndie mwenye hisa nyingi...?
 
Watu ambao hawajapigiwa ndo kelele nyingi na fujo za kutosha,ila si mbaya siku moja na mimi nitapigiwa live na CNN mtaona nitakachofanya,tuendelee kuombeana.
 
kwa nn wanamiliki wananchi na ikiwa Mo ndie mwenye hisa nyingi...?
wananchi ndo wenye hisa nyingi wana 51%,moo ana 49%...hisa za simba zimegawanywa katika sehemu mbili sehemu ya wanachama na sehemu ya mwekezaji/wawekezaji...mwekezaji/wawekezaji hisa zao hazitakiwi kuzidi 49%,waliweka hivyo mwekezaji asizidi 49% ili timu iendelee kuwa mali ya wananchi...umiliki wa kampuni ya simba ni tofauti na umiliki wa makampuni mengine..huku kampuni inamilikiwa na pande mbili...upande wa wanachama na upande wa mwekezaji...upande wa mwanachama hisa zao ni 51% ambao ndo wamiliki wa timu...upande wa mwekezaji hisa zao ni 49% na hawezi kuwa mmiliki wa timu never sababu hisa zake hazizidi zile za wanachama...na serikali imeweka hivyo makusudi

Na usi compare mfumo wa umiliki wa hisa wa kampuni nyingine na mfumo wa umiliki wa hisa kwenye timu za wanachama...kwenye makampuni mengine unaruhusiwa kumiliki asilimia zaidi ya 49% but huku kwenye mpira timu za wanachama kwa sheria za tanzania huruhusiwi kuzidi 49%...hii imewekwa makusudi ili kuzuia timu za wanachama zisiingie kwenye mfumo wa kumilikiwa na mtu mmoja
 
naona hujui lolote
endelea kujifunza hujachelewa mkuu, ukisoma kuhusu sheria za umiliki makampuni kuna haki za umiliki kati ya founder na share holders tatizo lako unaangalia umiliki wa kampuni kwa kuangalia upande mmoja wa share holder akati umiliki wa kampuni upo pande mbili, kuna umiliki wa moja kwa moja huu unamhusu founder na kuna umiliki kupitia hisa ndo maana anaposemwa mmiliki anatajawa founder direct na si share holder, labda wewe unambie umiliki unaoung'ang'ania katika hili ni upi ili nikueleweshe kabla hatujapoteza mda zaidi
 
huna cha kunielewesha mkuu,naomba tuishie hapohapo
 
Makampuni kwa mujibu wa sheria yetu ya makampuni hapa Tz...yapo ya aina mbili. Yale ambayo yako limited by shares na ambayo yako limited by guarantee.

Na katika hizo, pia kuna public companies na private companies.

Hakuna huo umiliki sijui wa founder or anything...huyo founder pamoja na wenzake, ni either wawe na hisa kwenye kampuni...au wawe guarantors.

Hakuna umiliki separately unaojulikana kama founding members kwa mujibu wa sheria...or else weka ushahidi wa sheria husika ya makampuni kuthibitisha hoja zako.
 
mkuu umeenda mbali japo upo sahihi, kilicholeta ubishani kua mwenye share kubwa ndo mmiliki je sheria inasema hvo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…