believer
JF-Expert Member
- Dec 22, 2012
- 639
- 216
Kwa kipindi cha muda mrefu redio Clouds Fm walikuwa na tabia za kutopiga nyimbo za wasanii pindi inapotokea wamepishana either na wao kama redio au na mmoja wa viongozi hapo.
Ilishatokea kwa chuma, binti machozi Lady Jaydee, Ruby, Diamonds na wengine wengine, though baadae baada ya tofauti kuisha wanakuwa wanapiga nyimbo, ni kituo binafsi na hawapangiwi na mtu, na ni biashara binafsi kwahiyo ni suala lao binafsi.
Vipi ban kwa Diamond sasa imeshaisha, maana leo imepigwa nyimbo ambayo Diamond yupo ya Yope remix, najua kuna watu watasema ooh wamepiga nyimbo ya Innos na sio ya Diamond, swali ni kwamba ipo original ambayo Mtandale hayupo na ndio huwa wanaipiga, vipi ban imeisha?
My Take: Michezo ya kibiashara zikichezwa kibiashara, Biashara husika zinapanuka, ili zipanuke lazima wachezaji wajue mchezo vizuri na wajue ni mchezo tu.
Sent using Jamii Forums mobile app