Kusaga ampigia simu Diamond Platnumz akiwa live Clouds FM

Sasa mkuu huoni apo ni Pesa inatafutwa?

Jose yuko strategic sana apo mond ni kama kalipia iyo airtime ya mawingu

Si unaona kaambiwa achangie bila kuambiwa achangie covid unafikiri ungemsikia?
 
Asisahau kumwambia King Kibakuli achangie hata kreti Saba za MO fayaa kwa wagonjwa wa korona waliopo karantini
akumbuke pia harmonize bado hela crdb bank zipo so achangie
asimsahau na H.Baba nae pia achangie maana nasikia ndie msanii anaeshindana na Diamond kwa fedha na mali.
 
tukiacha unafiki bifu la chibu na MAWINGU, limeiathiri sana mawingu kiuchumi na kiukubwa hivo boss yupo sawa kama anataka kuyamaliza hao makenge wataufyata tu wakizingua wanatimuliwa kazi *****, jo leo kanifurahisha sana kuwanyoosha makenge wakuitwa robidinyo na wengineo, leo lazima nitupie k- vant kadhaa kwa furaha nilonayo
 

Anajua hao watu hawawez kukataa
 
Huyu kusaga nae anazeeka vibaya,,
Diamond amejitolea mpaka jengo lake litumike Kama dispensary ya corona,,
Au anataka kula hela tu huyu mshashi?
kujitolea hakuna ukomo.
haijalishi umetoa kiasi gani na umetoa kwa wangapi
 
Hizi ni roho za kimaskini.Bahati nzuri mtu kama wewe huwezi kupigiwa na tajiri kama Kusaga.

Pia punguza hasira kwani Diamond ni nani yako hadi uongee kwa uchungu namna hii?Au we ndio mpenzi wake?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…