Kusaga ampigia simu Diamond Platnumz akiwa live Clouds FM

sasa mkuu kati yangu na wewe nani hana analolijua..hujawai liona jina la mamber wa familia yake alafu hapo hapo una mention jina la mke wa kusaga Juhayna Zaghalulu Ajmy kuwa ana 53%...unachobisha ni nini hapo, huoni aibu??
 
Apa mzeeee hii kauli huwa siamini ata nukta, lete ushahidi labda ndo tutaelewa.
(Ila kama ni jokes sawa)
ushahidi upi unataka....ushahidi nenda TCRA alafu wakupe majina ya wamiliki wa wasafi media then uangalia kati ya majina haya Juhayna Zaghalulu Ajmy,Nasibu Abdul Juma na Ali Khatib Dai alafu uangalie mwenye hisa nyingi ni nani hapo,huyo ndo atakuwa mmiliki wa wasafi media
 
MajizO mmiliki EFM ana hisa 40% mbona tunamwita mmiliki wa EFM radio na TV,60% anazo nani?

Mark Zuckerburg anaitwa mmiliki wa Facebook anamiliki 25% .

Sasa kuna tatizo gani tukisema Diamond mmiliki wa Wasafi pamoja 45% ?au kwa kuwa ni Diamond basi nongwa.
 
Sasa ndio baada ya kipindi mmekuja kuanzisha uzi JF? mngekataa tu palepale
 
ROGERSHINE unaijua maana ya mmiliki?

mmiliki ni founder wa kitu haijalishi ana hisa kiasi gani, hao wengine ni wanahisa tu..

ndo maana hata CMG jo ndo mmiliki coz ye ndo founder bt ana hisa ndogo kulinganisha na wanahisa wengine, nyie tatizo lenu chuki zinawatesa hata mkawa kama mazuzu kutaka kuupindisha ukweli ili wasio na ufaham wasielewe
 
Kwa Kiburi chake, atapoteza wadhamini wengi tu, hajui PR
 

😬😬 Kwamba matako yakaanza Kucheza Yope
 
Wamezoea hisa zile zinazonunuliwa kutoka taasisi za serikali kwamba mwenye hisa nyingi ndio anaendesha taasisi na wakati mwingine ndio anaonekana ni mmilki kumbe inawezekana kabisa ukiona vipi ukachukua hisa zake hata kama ni nyingi kutokana na mkataba uliopo
 
Umemmaliza kila kitu wewe jamaa una uwelewa wa biashara hao wengine sijui hata biashara ya nyanya Kama wamewahi kufanya kimsingi wa biashara hasa wa kikampuni founder ndo anakuwa na power kubwa ya maamuzi hata Kama akiwa ana hisa ndogo mfano mzuri microsoftware anatajwa mmiliki bil Gates lakini mwenye hisa kubwa ni Steve Baller anatajwa huyo Bill gates kwasababu yeye ndio founder wa kampuni na ndio mwenye maamuzi makubwa kuliko Steve Ballmer sio kila mtu mwenye hisa kubwa Ni mmiliki Bali wale wanakuwa watu walioweka mpunga mkubwa zaidi ya mmiliki ndo maana wanaitwa partners.
 
Kusaga ni owner wa radio zote na kuchanga sio kutafuta masifa.
 
Punguza jazba za kike.

Huyo diamond mwenyewe ametolewa wenge na kusaga na ameelewa sembuse wewe shabiki mandazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…