Kusaga ampigia simu Diamond Platnumz akiwa live Clouds FM

Kusaga ampigia simu Diamond Platnumz akiwa live Clouds FM

Boss kusaga kampigia simu boss diamond
leo tena( Nabii Mussa) wame(ka)mpigia cm mfalme Alli kiba
 
MajizO mmiliki EFM ana hisa 40% mbona tunamwita mmiliki wa EFM radio na TV,60% anazo nani?

Mark Zuckerburg anaitwa mmiliki wa Facebook anamiliki 25% .

Sasa kuna tatizo gani tukisema Diamond mmiliki wa Wasafi pamoja 45% ?au kwa kuwa ni Diamond basi nongwa.
mwenye share nyingi ndo mmiliki,hao uliosema wanamiliki hizo share kwenye hayo makampuni kuna anayewazidi kwa share nyingi za umilikikwenye hizo kampuni...weka mihemko na mahaba pembeni toa facts ckuzote,usitake unavyopenda wewe ndo iwe,sometimes ukweli ni ule usioupenda wewe kuusikia ingawa najua inauma
 
kuna tofauti kubwa kati yakua mmiliki na kua share holder mkuu, kusaga ni share holder bt diamond ni mmiliki wa wasafi media na ni share holder pia, hati miliki ya wasafi media anaimiliki founder na sio share holder, kama hujaelewa basi kichwa imejaa maji
 
Mwenye share nyingi anaitwa mmiliki kwa hiyo Majizo na Mark Zuckeberg sio wamiliki au wanavyowaita wamiliki wanakosea au hawana facts?

Unataka facts wakati hata elimu kuhusu maswala ya HISA huna.
 
Aisee, hata mm nimeshangazwa sana hili jambo.. kiukweli hapa Kusaga amechemsha
Hahaha, mtu unaweza kujiharibia siku bure kwa kuwashtukiza watu.

Diamond ni media owner kwa sasa, wewe kutangaza kupitia media nyingine na kutaka yeye achangie ili media hiyo ipate credit kwamba imewachangisha watu si kitu sahihi.

Yeye alitakiwa kuwapigia business partners wa Clouds, na kama anataka angeenda Wasafi kufanya utaratibu kama huo na kuwapigia watu anaoona ni business partners wa Wasafi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alisahau nyimbo ipi ndio akakwama.. Kusaga ni bosi wa Diamond na Wasafi fm etc.. akiambiwa kama leo lazima atekeleze no ubishi
 
Ha haaaa unajua unayemponda mpo timu moja , sema mwenzako ana reverse ila wewe ni one way thinker .....
🤣🤣🤣 mimi nipo team zote kuanzia mabaga fresh, uswahilini matola, east cost team, wcb, konge gang , kings nk

Robidinyo usinimind huwa siko serious
 
kuna tofauti kubwa kati yakua mmiliki na kua share holder mkuu, kusaga ni share holder bt diamond ni mmiliki wa wasafi media na ni share holder pia, hati miliki ya wasafi media anaimiliki founder na sio share holder, kama hujaelewa basi kichwa imejaa maji

Ni bosi wake tangu mwanzo na hadi mbeleni
Kumiliki jina la inavyoitwa, mkuu huyo ni bosi wake na alimsikiliza leo kama siku zingine zote FULL STOP
 
Kusaga naye ameonekana alikuwa akibebwa na Ruge hakuna anachojua hapo CMG. Huo nao watasema ubunifu.

Diamond ili aonekane katoa mchango kukabiliana na corona lazima achangie mafenesi, papai na mbuzi!
😃😃😃
 
kuna tofauti kubwa kati yakua mmiliki na kua share holder mkuu, kusaga ni share holder bt diamond ni mmiliki wa wasafi media na ni share holder pia, hati miliki ya wasafi media anaimiliki founder na sio share holder, kama hujaelewa basi kichwa imejaa maji
Naona kichwa yako ndo ipo full maji so unajitahidi kuhamisha hizo maji zilizojaa kwenye vichwa vya wengine ili viwe kama cha kwako...wasafi media ambayo ni kampuni inamilikiwa na watu watatu(kusaga si mmoja wao/wife wake ndo mmoja wa wamiliki..assumption..so huwa tunasema kusaga ni mmiliki kwa kutumia mwamvuli wa wife ake)...hii ni kwa mujibu wa chapisho la gazeti la serikali kipindi
inaanzishwa bila shaka chapisho kwenye gazeti la serikali ni moja ya matakwa ya kisheria katika uanzishaji wa kampuni...sasa wewe mkuu endelea kuruka ruka na assumption za story za vijiwe vya kahawa sjui founder,sjui hati miliki..kwenye chapisho la gazeti la serikali hakukuwa na hayo
 
Back
Top Bottom