Kusaga ampigia simu Diamond Platnumz akiwa live Clouds FM

Mwenye share nyingi anaitwa mmiliki kwa hiyo Majizo na Mark Zuckeberg sio wamiliki au wanavyowaita wamiliki wanakosea au hawana facts?

Unataka facts wakati hata elimu kuhusu maswala ya HISA huna.
sasa kati ya mimi na wewe nani hana elimu kuhusu maswala ya hisa??...hao uliowataja unauhakika hawana share nyingi kuliko wengine kwenye hizo kampuni,kama wana share nyingi kwanini wasiwe wamiliki...any way ukitaka kujua mmiliki wa wasafi media ambayo ni kampuni tafuta chapisho la gazeti la serikali wakati kampuni inaanzishwa utaona majina ya wamiliki yamewekwa..am done
 
Vyombo vya habari vinamtaja mmiliki wa EFM Majizo,Forbes wanamtaja mmiliki Bill gates japokuwa kuna mwengine ana hisa zaidi yake,hivyo hivyo Mark Zuckerburg.Ina maana wewe unajua kuliko Forbes?

"utaona majina ya wamiliki"

Majibu unayo ila naona unataka kubishana.
 
hebu google kwanza ili upate mwanga maana unabisha kama zuzu
 
Kusaga uwezo wake wa kufkiria
Umfkia mwisho

stidy
 
Ukitaka kuimiliki kampuni, miliki majority shares, Hauwezi ukamtoa mtu mwenye share nyingi kwenye umiliki wa kampuni! ulijiuliza kwa nini serikali ilikomaa Mo asivuke 51% ya hisa simba? simply angevuka hiyo % timu yote ingekuwa mfukoni kwake.
 
Mwenye share nyingi anaitwa mmiliki kwa hiyo Majizo na Mark Zuckeberg sio wamiliki au wanavyowaita wamiliki wanakosea au hawana facts?

Unataka facts wakati hata elimu kuhusu maswala ya HISA huna.
Majizo anashare nyingi EFm

hata Mark ndio mwenye share nyingi facebook
 
Majizo ana 40%,kuna mwana mama mmoja ana 40% na mwengine ana 20%.
sasa mbona mbona sioni unachobishia hapo ni nini, hata huyo unayemwita mwana mama ni mdogo wake wa tumbo moja, labda kama haulijui hilo.
 
Ass
Mhh kweli?
Assumption ana miliki asilimia 50?
asumption gani? labda uwe na ubishi wa kipaji tu, alichokifanya majizo ni kama wanavyofanya wahindi, kawekeza mtaji na katoa shares kwa familia, hii wanafanya kwa sababu ya kisheria, hauwezi kuanzisha company bila kuwa shares.

According to information from Business Registrations and Licensing Agency (BRELA), TCRA shows that E-FM Company Limited is established and owned by three relatives, whereby Francis Antony Ciza owns 40% shares, Jean Claude Ciza 40% shares and Justine Antoine Ciza 20% shares
 
Kwa hiyo unajua mpaka mambo ya kifamilia ya kina Majizo?Ndio uka assume ana miliki 80%?

Kuwa ndugu wa baba mmoja haimanishi mnapenda,mnaweza mkawa wa baba mmoja kila mtu na mitikasi zake na familia yake.
 
Kwa hiyo unajua mpaka mambo ya kifamilia ya kina Majizo?Ndio uka assume ana miliki 80%?

Kuwa ndugu wa baba mmoja haimanishi mnapenda,mnaweza mkawa wa baba mmoja kila mtu na mitikasi zake na familia yake.
Mzee, nimenukuu report ya TCRA, Wewe kwako mtu kuwa na majority shate unaelewa vipi? naweza kuwa nabishana na mtu asiyeelewa hili jambo, mfano wewe umebisha kuwa Mark hana majority share Fb kisa ana 24%. sijajua uelewa wako kwenye majority shares, labda unataka uone mtu ana 60% ndio uamini kuwa ana majority shares,
 
"
sasa mbona mbona sioni unachobishia hapo ni nini, hata huyo unayemwita mwana mama ni mdogo wake wa tumbo moja, labda kama haulijui hilo."

Hii kauli yako,the same kusema Ma mdogo 40 + majizo 40=MAJIZO 80.

Umenukuu report ya TCRA ukaiconevert ktk kifamilia ukaassume,sababu wote ukoo mmoja,basi zote ana miliki Majizo.

Hapo ndipo mimi ninakupinga kwamba una assume.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…