Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
shilingi ngapi hizo heavy duty?
Wazungu wanakuna na nini? au na hizi kama za kwetu za kienyeji?Mimi nakuna kwanza alafu nasaga pamoja na maji ya uvuguvugu kidogo kidogo kupata tui zuri.
Ila ukisaga bila ya kukuna utapoteza tu nazi mana hata kutapata tui zuri labda kama unataka kutengeneza chatne.
Wazungu wanakuna na nini? au na hizi kama za kwetu za kienyeji?
Inawezekana...
Kuna aina tofauti za blender pamoja na visu vyake...
Nakushauri vizuri ununue zile heavy duty, ukipata brands za UK au US ni nzuri zaidi mfano kama Ninja n.k
Wapo wabongo huziuza kama second hand kwa bei nzuri tu...Bei ya ninja na vitamix unazijua mkuu?
Usimdanganye izo brand wewe mwambie anunue heavy dutybasi
Sent from my iPhone using JamiiForums
Wapo wabongo huziuza kama second hand kwa bei nzuri tu...