Kusaga : Tulipopiga wimbo wa Mbosso tuliambiwa tujieleze kwanini tulikuwa hatupigi nyimbo za wasanii wa Wasafi. Uongozi wa WCB uulizwe

Hziyech22

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2019
Posts
15,351
Reaction score
21,362
Leo saa tatu kamili usiku kutakuwa na interview ya mkurugenzi wa Clouds Media ndani ya kipindi Bartender kikiongozwa na mtu mbaya Jonijo ndani ya Wasafi TV siyakukosa leo.

Je, kupitia interview hii tunaweza tukaona bifu la Clouds na Diamond kuisha? Tusubili muda utaongea maana Jonijo pia ndio mtu aliyewapatanisha Baba Diamond na Diamond kupitia kipindi cha Block 89 cha Wasafi FM.

Kumbe kusaga anamiliki wasafi, kuna mtu niliwahi kumbishia kuwa ni uwongo dats why clouds na wasafi hawapatani, duuh kumbe kweli, sasa anashindwa vipi kuzipatanisha hizo media zake, ili zifanye kazi kwa ufanisi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio media yake Bali yeye ni mmoja wa shareholder wa wasafi wakiwa na diamond ndo maana Hana nguvu sawa Kama huko clouds but kwa clouds ndio media yake.
 
Sio media yake Bali yeye ni mmoja wa shareholder wa wasafi wakiwa na diamond ndo maana Hana nguvu sawa Kama huko clouds but kwa clouds ndio media yake.
Kitaalamu mwenye majority share ndo mwenye say kubwa kuliko mwenye minority share..sasa unachoongea wewe sijui ni kitu gani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio media yake Bali yeye ni mmoja wa shareholder wa wasafi wakiwa na diamond ndo maana Hana nguvu sawa Kama huko clouds but kwa clouds ndio media yake.
Clouds sio media yake.... ni kampuni ya familia acha uongo....hivi nyinyi hizi habari za uongo huwaga mnazitoa wapi......?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akizipatanisha hawezi kuwapata watu wasiofikiri ambao ndio wengi nchi hii.Sijui kuhusu wewe mkuu,ila ujue wenzio wako mbali sana kibiashara.
Ni sawa na kusema uwapatanishe wapenzi wa yanga na Simba ili wawe kitu kimoja,unadhani watafanyaje biashara?
Kumbe kusaga anamiliki wasafi, kuna mtu niliwahi kumbishia kuwa ni uwongo dats why clouds na wasafi hawapatani, duuh kumbe kweli, sasa anashindwa vipi kuzipatanisha hizo media zake, ili zifanye kazi kwa ufanisi

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ooooh kumbe ndio hivyo hapo nimekuelewa vizuri kabisa, ahsante kwa ufafanuzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…