Kusaga : Tulipopiga wimbo wa Mbosso tuliambiwa tujieleze kwanini tulikuwa hatupigi nyimbo za wasanii wa Wasafi. Uongozi wa WCB uulizwe

Hoja ya msing ni waseme kwann ndan ya 5yrs walikuwa hawapig nymbo?


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mimi ni Msukule wa Muziki Mzuri.
Hebu silkiliza hapa vibe, achana na Nyimbo za kujikombakomba za Bashite Baba lao.
Hata ukipost huo wimbo haiondoi wewe kuwa msukule wa kiba?
 
Kumbe kusaga anamiliki wasafi, kuna mtu niliwahi kumbishia kuwa ni uwongo dats why clouds na wasafi hawapatani, duuh kumbe kweli, sasa anashindwa vipi kuzipatanisha hizo media zake, ili zifanye kazi kwa ufanisi

Sent using Jamii Forums mobile app
Zikipatana zitakosa mashabiki, bifu lao ni la kuingiza Hela.
 
Nakataa kwasababu Ruge na Kusaga wote ni sehemu ya TOP MANAGEMENT ya Clouds, sasa kujifanya ajui jambo kama hili inaleta mashaka na uongo wa wazi wazi
Usikatae kabla Ruge hajafariki mda mwingi alikuwa akiishi Dubai Ruge ndo alikuwa master mind wa kila kitu pale Mjengoni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na salaam ndo kamfikisha hapo alipo...
 
Hebu tumia kichwa kufikiri kabla kuandika hapa,inamaans hujui kama jide mwaka huu katoa nyimbo mpya?hujui kama dudu baya anangoms kadhaa mpya ikiwemo ile ya konki aliyomshirikisha rayvanny?Je zimepigwa lini clouds?Haters mmefeli kumwangusha diamond ndio maana mmetumia ule msemo wa. Ifu can't fight them join them,ila Kwa bahati mbaya mmefeli tena maana hamuaminiki tenaa
 
mkuu fanya mpago ule chakula cha mchana kwanza.
 
Hivi wewe ukiwa na urafiki na jamaa,Mara ghafla jamaa akawa anakuonyesha chuki,hapendi maendeleo yako na anapambana akurudishe nyuma...ghafla tena unamuona anarudi tena kwako na kutaka ukaribu tena na ww,je utafanyaje?
 
Kumbe kusaga anamiliki wasafi, kuna mtu niliwahi kumbishia kuwa ni uwongo dats why clouds na wasafi hawapatani, duuh kumbe kweli, sasa anashindwa vipi kuzipatanisha hizo media zake, ili zifanye kazi kwa ufanisi

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kumbe hujui tricks za biashara we!!? Kama Ni kweli office zote mbili Ni zake au anashare huko, basi Hilo bifu ndo Lina muingizia mpunga!!! Sanuka mkuu
 
Watanzania ni mtaji tosha sana wa kutokea kimaisha. Yaani jamaa amewakusanya kwenyu magunia kama Senene anajipigia zake hela huku na huku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…