Kusaga : Tulipopiga wimbo wa Mbosso tuliambiwa tujieleze kwanini tulikuwa hatupigi nyimbo za wasanii wa Wasafi. Uongozi wa WCB uulizwe

Kusaga : Tulipopiga wimbo wa Mbosso tuliambiwa tujieleze kwanini tulikuwa hatupigi nyimbo za wasanii wa Wasafi. Uongozi wa WCB uulizwe

Hoja ya msing ni waseme kwann ndan ya 5yrs walikuwa hawapig nymbo?

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mimi ni Msukule wa Muziki Mzuri.
Hebu silkiliza hapa vibe, achana na Nyimbo za kujikombakomba za Bashite Baba lao.

Hata ukipost huo wimbo haiondoi wewe kuwa msukule wa kiba?
 
Kumbe kusaga anamiliki wasafi, kuna mtu niliwahi kumbishia kuwa ni uwongo dats why clouds na wasafi hawapatani, duuh kumbe kweli, sasa anashindwa vipi kuzipatanisha hizo media zake, ili zifanye kazi kwa ufanisi

Sent using Jamii Forums mobile app
Zikipatana zitakosa mashabiki, bifu lao ni la kuingiza Hela.
 
Nakataa kwasababu Ruge na Kusaga wote ni sehemu ya TOP MANAGEMENT ya Clouds, sasa kujifanya ajui jambo kama hili inaleta mashaka na uongo wa wazi wazi
Usikatae kabla Ruge hajafariki mda mwingi alikuwa akiishi Dubai Ruge ndo alikuwa master mind wa kila kitu pale Mjengoni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Domo alisema haitaji media zipige nyimbo zake ndio watu wakaacha kupiga nyimbo zake, before kusema hivyo wakati huo sk alikuwa amepanga kumdhaliisha marehemu Ruge ndio beef likaivia hapo. Lakini ukiangalia jana alichosema Jo kupitia The Bar Tender nikwamba aliwaambia team yake ya clouds kupiga nyimbo za wasafi ilikuondoa tofauti iliopo katiyao. clouds walitaka kupiga nyimbo ya mboso uwongozi wa wasafi ukawambiia walikuwa wapi miaka 5 iliopita wasipige Jo akambiwa aandike barua kuomba kupiga nyimbo za wasafi kitu ambacho Jo aliona ni fedhea na kujidhalilisha kufanya kitu kama hicho. Ninachokiona mm tatizo sio domo tatizo domo anaendeshwa na sk ndio anapeleka vitu ovyo.
Na salaam ndo kamfikisha hapo alipo...
 
Hebu tumia kichwa kufikiri kabla kuandika hapa,inamaans hujui kama jide mwaka huu katoa nyimbo mpya?hujui kama dudu baya anangoms kadhaa mpya ikiwemo ile ya konki aliyomshirikisha rayvanny?Je zimepigwa lini clouds?Haters mmefeli kumwangusha diamond ndio maana mmetumia ule msemo wa. Ifu can't fight them join them,ila Kwa bahati mbaya mmefeli tena maana hamuaminiki tenaa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hao uliowataja nyimbo zao hazipigwi popote kwasababu ni za zamani labda watoe mpya au wakae wasubiri kipindi cha old is gold.

Hayo maswala ya chuki sijui haters utakuwa unajichosha bure tu kwasababu ya mahaba.

Huyo ni Clouds tu leo katoa maelezo, bado kuna EATV, EFM nk wote hawapigi nyimbo za WCB jiulize kwanini.

Meneja kichwa maji ni kichwa maji tu hana muda wa kujirudi hata akigundua makosa yake.

Hao clouds huenda wamegundua shida yao iko wapi wakaamua kujirudi na kupiga nyimbo za wcb sasa gafla wanapokea barua ya menejiment inayoonyesha mlengo wa kuendeleza mvutano.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hebu tumia kichwa kufikiri kabla kuandika hapa,inamaans hujui kama jide mwaka huu katoa nyimbo mpya?hujui kama dudu baya anangoms kadhaa mpya ikiwemo ile ya konki aliyomshirikisha rayvanny?Je zimepigwa lini clouds?Haters mmefeli kumwangusha diamond ndio maana mmetumia ule msemo wa. Ifu can't fight them join them,ila Kwa bahati mbaya mmefeli tena maana hamuaminiki tenaa
mkuu fanya mpago ule chakula cha mchana kwanza.
 
Hivi wewe ukiwa na urafiki na jamaa,Mara ghafla jamaa akawa anakuonyesha chuki,hapendi maendeleo yako na anapambana akurudishe nyuma...ghafla tena unamuona anarudi tena kwako na kutaka ukaribu tena na ww,je utafanyaje?
Daudi Mchambuzi,
I second you, sifikirii kama ilikuwa sawa kumwambia kusaga na Clouds kuandika barua kujieleza kwanini hawakuwa wanapiga nyimbo zao.....
Mtu mzima kakaa chini kafikiri kuwa pengine sio sawa kutopiga nyimbo za wasanii husika na yeye kama mwenye media kaona sio sawa.... sasa kumwambia aandike barua kujieleza ni ujinga kabisa na kutafuta na kuendeleza mabifu yasiyo na msingi wowote ule hapa wamekosea lazima tukubali
 
Kumbe kusaga anamiliki wasafi, kuna mtu niliwahi kumbishia kuwa ni uwongo dats why clouds na wasafi hawapatani, duuh kumbe kweli, sasa anashindwa vipi kuzipatanisha hizo media zake, ili zifanye kazi kwa ufanisi

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kumbe hujui tricks za biashara we!!? Kama Ni kweli office zote mbili Ni zake au anashare huko, basi Hilo bifu ndo Lina muingizia mpunga!!! Sanuka mkuu
 
Watanzania ni mtaji tosha sana wa kutokea kimaisha. Yaani jamaa amewakusanya kwenyu magunia kama Senene anajipigia zake hela huku na huku.
 
Back
Top Bottom