Dr Rutagwerera Sr
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 5,809
- 11,462
Kumbe wewe unaangalia jina. Ngoja nikuelekeze uelewe. Nimewahi kutembea na binti wa kisambaa anaitwa Evelyn Kusaga. Hivyo, inawezekana kuna Kusaga wasambaa. Mfano jina la Mukama lipo kwa wajita na wahaya, Palapala lipo kwa wanyamwezi na watu w Bunda, Mara. Rutaba lipo kwa waha na wahaya. Mbelwa lipo kwa wahaya na wanyamwezi. Upo hapo? Kusaga ninawafahamu personally. Wana udugu wa mbali upande wa umamani kwangu; mama yangu ni mruri na baba yangu ni mhaya wa Kanyengereko, Bulambizi.kuna mtu wa musoma anayeitwa "kusaga"?
jibu swali acha porojoKumbe wewe unaangalia jina. Ngoja nikuelekeze uelewe. Nimewahi kutembea na binti wa kisambaa anaitwa Evelyn Kusaga. Hivyo, inawezekana kuna Kusaga wasambaa. Mfano jina la Mukama lipo kwa wajita na wahaya, Palapala lipo kwa wanyamwezi na watu w Bunda, Mara. Rutaba lipo kwa waha na wahaya. Mbelwa lipo kwa wahaya na wanyamwezi. Upo hapo? Kusaga ninawafahamu personally. Wana udugu wa mbali upande wa umamani kwangu; mama yangu ni mruri na baba yangu ni mhaya wa Kanyengereko, Bulambizi.
Diallo huyu anayedaiwa na wafanyakazi wake hadi wanakesha nje zaidi ya mwezi mzima??
Sent using Jamii Forums mobile app
Huenda nabishana na mtoto mdogo. Ungekua mhenga ungemjua vema.jibu swali acha porojo
we jamaa bana nimekuuliza swali dogo tu but unazuunguuuka ndo mana mnafeli shule "kuna mtu wa musoma anaitwa Kusaga?"Huenda nabishana na mtoto mdogo. Ungekua mhenga ungemjua vema.
Ok njoo PM nikupe uthibitisho bwana mdogo. Ila sishangai alias name yako ina reflect. Akina Chinga huwa wabishi sana.
Acha kupenda majibu ya kutafuniwa. Unasoma between the lines, kisha unachakata akili yako unajiongeza. Jibu ni rahisi, kama Kusaga ni mjita maana yake wapo watu wa Musoma wana majina ya Kusaga. Ungekua mhenga wala tusingefika huku. Mi navyokuona shabiki kindakindaki nikajua wammanya vema mzee JK. Ndiyo maana nikakupa ufafanuzi mpana uelewe. Ungekua mhenga wala tusingefika huku. Wewe bila shaka umeanza kumsikia miaka ya karibuni Jo.we jamaa bana nimekuuliza swali dogo tu but unazuunguuuka ndo mana mnafeli shule "kuna mtu wa musoma anaitwa Kusaga?"
blah blah za nini bwana mdogo mbona jibu la "Yes or No" linatosha kabisa.Acha kupenda majibu ya kutafuniwa. Unasoma between the lines, kisha unachakata akili yako unajiongeza. Jibu ni rahisi, kama Kusaga ni mjita maana yake wapo watu wa Musoma wana majina ya Kusaga. Ungekua mhenga wala tusingefika huku. Mi navyokuona shabiki kindakindaki nikajua wammanya vema mzee JK. Ndiyo maana nikakupa ufafanuzi mpana uelewe. Ungekua mhenga wala tusingefika huku. Wewe bila shaka umeanza kumsikia miaka ya karibuni Jo.
Alishafanya hiyo interview,nilimsikiliza sana. Mbona ile interview yeye kaonyesha wazi hana share pale,isipokuwa ksbb ya ukongwe wake kwenye hiyo tasnia huwa anawapa tu ushauri.
Sent using Jamii Forums mobile app