Dr Rutagwerera Sr
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 5,809
- 11,462
Kumbe wewe unaangalia jina. Ngoja nikuelekeze uelewe. Nimewahi kutembea na binti wa kisambaa anaitwa Evelyn Kusaga. Hivyo, inawezekana kuna Kusaga wasambaa. Mfano jina la Mukama lipo kwa wajita na wahaya, Palapala lipo kwa wanyamwezi na watu w Bunda, Mara. Rutaba lipo kwa waha na wahaya. Mbelwa lipo kwa wahaya na wanyamwezi. Upo hapo? Kusaga ninawafahamu personally. Wana udugu wa mbali upande wa umamani kwangu; mama yangu ni mruri na baba yangu ni mhaya wa Kanyengereko, Bulambizi.kuna mtu wa musoma anayeitwa "kusaga"?