Ndo maana hatufanikiwi, roho ya korosho imetutawala sana!!Wabongo ndo walivyo Wana tabia za kichawichawi.
hamna kitu hizo sababu za EFM ulizosema hapo ni story za wanywa kahawa wa kijweni, EATV wengi hawakupeleka kazi zao kwenye tuzo na nyimbo zao zinachezwa.EATV waliacha kupiga myimbo za Mond mapema kabisa baada ya kukataa kushiriki tuzo zao za kichonganishi,EFM ishu za kimapenzi za boss wanazileta keenye kazi....hakuna mwenye sababu za msingi saaana za kuwatenga wcb,hata shigongo nae ilikua hivyo hivyo.
Umeamua kujifurahisha ni jambo jema kwa afya yako , ila HOJA zetu ni nzito sana
hata kama aligundua since day one, hata baada ya miaka 3 ndiyo awe amegundua means ameona tatizo lipo kwao ndiyo maana katoa amri nyimbo zipigwe, sasa mwenye mali kaamua zipigwe alafu Babu Tale anataka Kusaga amuandikeie burua ya maelezo kweli??Baada ya miaka zaidi ya mitatu ndio Kusaga anagundua leo kwamba nyimbo za WCB hazipigwi? [emoji23][emoji23][emoji23], Hebu njooni na hoja nyingine
Sent using Jamii Forums mobile app
Dudubaya hata mimi siwezi piga nyimbo yake.Acha hizo dudubaya katoa nyimbo na Niki mbishi inaitwa POKEA SIMU vip Clouds wanaipiga ?au uzamani unamaanisha nini ?
management ya WCB inahitaji iwe na mshauri anayetazama future in a big picture.I second you, sifikirii kama ilikuwa sawa kumwambia kusaga na Clouds kuandika barua kujieleza kwanini hawakuwa wanapiga nyimbo zao.....
Mtu mzima kakaa chini kafikiri kuwa pengine sio sawa kutopiga nyimbo za wasanii husika na yeye kama mwenye media kaona sio sawa.... sasa kumwambia aandike barua kujieleza ni ujinga kabisa na kutafuta na kuendeleza mabifu yasiyo na msingi wowote ule hapa wamekosea lazima tukubali
Ueleweki mara nyimbo za zamani mara anadhalilisha watangazaji , tuelewi lipi sasa ,Dudubaya hata mimi siwezi piga nyimbo yake.
Hivi msanii anayerekodi video anatukana media flani na kuzalilisha watangazaji media husika tena kwa kutaja majina anataka kweli nyimbo yake ipigwe na kituo husika???
Hoja za msingi nafikir zimeelewekaKiherehere.chako tu,nilikoment bila kuquote mtu. Msukule take a chili pill
Mwanzo walipiga nyimbo zote , ila badae tukaona wanabagua , ndio watuambie UBAGUZI ule sababu ni nini ?Na kwanini mwanzo walikuwa wanapiga nyimbo za wcb ??
Ukumbuke kuwauliza wcb Hilo swali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kusaga ni sehemu ya Management ,anapojitoa kujifanya hawezi kujibu swali hili , ndio mshangao ulipoHilo swali hapaswi kujibu kusaga maaba yeye alishatoa go ahead, anapaswa kuulizwa mtu kama bdozen au yule wanaemuita baba kasema
Sent using Jamii Forums mobile app
Ili ujue huyu bwana ni muongo, mbona nyimbo za WCB za rich mavocko na harmonize wanazipiga kwenye studio yake?
Hii ni njia mpya ya kutafuta huruma kwa jamii iliyoanza kuwatenga kutokana na roho zao za kichawichawi
Diamond anatakiwa awe makini na hilo zimwi lisilopenda mwingine anyanyuke zaidi