Kusaga : Tulipopiga wimbo wa Mbosso tuliambiwa tujieleze kwanini tulikuwa hatupigi nyimbo za wasanii wa Wasafi. Uongozi wa WCB uulizwe

Kusaga : Tulipopiga wimbo wa Mbosso tuliambiwa tujieleze kwanini tulikuwa hatupigi nyimbo za wasanii wa Wasafi. Uongozi wa WCB uulizwe

Interest, Ni kweli kabisa hii

Hata hivyo kwa clouds media tatizo si huyu boss wao, he is very peace huyu jamaa.

Tatizo clouds ni watangazaji wameambukizwa chuki flani ya kulipa kisasi effectively kwa yeyote anayewapinga, kuwakosoa au kuwasema vbaya. Chuki hii aliyewaambukiza siwezi jua........

Wasafi wameligundua hilo, wakaopt kuja tofauti. Wameng'amua madhara ya hizo bif kibiashara.

Pongezi kwao #Wasafi media lakini pia pongezi sana kwa huyu jamaa #JosephKusaga JOO

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa jamaa wanatufanya mazube,hizi media mbili yaani clouds na wasafi ni zake huyo fala kusaga
 
EATV waliacha kupiga myimbo za Mond mapema kabisa baada ya kukataa kushiriki tuzo zao za kichonganishi,EFM ishu za kimapenzi za boss wanazileta keenye kazi....hakuna mwenye sababu za msingi saaana za kuwatenga wcb,hata shigongo nae ilikua hivyo hivyo.
hamna kitu hizo sababu za EFM ulizosema hapo ni story za wanywa kahawa wa kijweni, EATV wengi hawakupeleka kazi zao kwenye tuzo na nyimbo zao zinachezwa.
kubali au kataa ukiwa na mameneja bongolala tegemea migogoro mingi zaidi.
 
Kusaga anawamalizia bando tuu wasafi/cloud wote ni wake wake walivyo wajanja wanajitengenezea ugomvi ili wakae masikioni mwa watu bifu la Domo na kibakuli ndo linalofanya watu wawategee masikio hata wee jaribu kugomba hata week na mkeo afu mje mpatane penzi huwa Lina update operation system zake

Sent from my TECNO LC6 using Tapatalk
 
Baada ya miaka zaidi ya mitatu ndio Kusaga anagundua leo kwamba nyimbo za WCB hazipigwi? [emoji23][emoji23][emoji23], Hebu njooni na hoja nyingine

Sent using Jamii Forums mobile app
hata kama aligundua since day one, hata baada ya miaka 3 ndiyo awe amegundua means ameona tatizo lipo kwao ndiyo maana katoa amri nyimbo zipigwe, sasa mwenye mali kaamua zipigwe alafu Babu Tale anataka Kusaga amuandikeie burua ya maelezo kweli??
 
Acha hizo dudubaya katoa nyimbo na Niki mbishi inaitwa POKEA SIMU vip Clouds wanaipiga ?au uzamani unamaanisha nini ?
Dudubaya hata mimi siwezi piga nyimbo yake.

Hivi msanii anayerekodi video anatukana media flani na kuzalilisha watangazaji media husika tena kwa kutaja majina anataka kweli nyimbo yake ipigwe na kituo husika???
 
Kusaga bana

Radio zote hizo ni zake

Anachofanya ni igizo la kitaaluma
 
I second you, sifikirii kama ilikuwa sawa kumwambia kusaga na Clouds kuandika barua kujieleza kwanini hawakuwa wanapiga nyimbo zao.....
Mtu mzima kakaa chini kafikiri kuwa pengine sio sawa kutopiga nyimbo za wasanii husika na yeye kama mwenye media kaona sio sawa.... sasa kumwambia aandike barua kujieleza ni ujinga kabisa na kutafuta na kuendeleza mabifu yasiyo na msingi wowote ule hapa wamekosea lazima tukubali
management ya WCB inahitaji iwe na mshauri anayetazama future in a big picture.
 
Dudubaya hata mimi siwezi piga nyimbo yake.

Hivi msanii anayerekodi video anatukana media flani na kuzalilisha watangazaji media husika tena kwa kutaja majina anataka kweli nyimbo yake ipigwe na kituo husika???
Ueleweki mara nyimbo za zamani mara anadhalilisha watangazaji , tuelewi lipi sasa ,
 
Mji mzito huu
Ili ujue huyu bwana ni muongo, mbona nyimbo za WCB za rich mavocko na harmonize wanazipiga kwenye studio yake?
Hii ni njia mpya ya kutafuta huruma kwa jamii iliyoanza kuwatenga kutokana na roho zao za kichawichawi

Diamond anatakiwa awe makini na hilo zimwi lisilopenda mwingine anyanyuke zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom