Kusaga vs Ruge, Wasafi vs Clouds

Kusaga vs Ruge, Wasafi vs Clouds

Chum Kane

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2013
Posts
1,143
Reaction score
948
Tunajua Joseph Kusaga yupo karibu sana na Diamond (Diamond Karanga, Wasafi media). Pia tunasikia Clouds Media wana beef na Wasafi. Kumbuka Kusaga ni Mkurugenzi wa Clouds na Ruge ni mkurugenzi wa vipindi. Swali langu. Hili beef la wasafi na Clouds linachanganya. Je nani boss hasa pale clouds? Ni Ruge au ni Kusaga? Karibuni wana jamvi.
 
Kumbe hawapigi za jide!!! Si kauli mbiu yao ni kuwa ni ya wasanii wote!!!!!!!!
Nilipoona wasafi hawagongi ngoma za jide ndio nikajua moja moja haya maneno kuwa mmiliki wa hao jamaa ni kusaga aiseee...yule na jide haziivi kabisa
 
Umesahau mkuu kusaga pia ndo mwenye watoto wa diamond [emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji23][emoji28][emoji28][emoji23][emoji28][emoji23][emoji28][emoji23] rejesha takataka zako kwa mange
 
Back
Top Bottom