Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wabongo bhana angesema RR yake mngelalamika analeta Uhaya!Tuambie ni gari aina gani kwanza,isije ikawa una kifaa cha kukusogeza kutoka sehemu moja kwenda nyingine unasema ni gari, kumbe umechanganya...
Wabongo majungu sana!! Hii nchi ngumu aiseee, kumaliza mwaka ni baraka za Muumba!!Wabongo bhana angesema RR yake mngelalamika analeta Uhaya!
Wabongo bhana angesema RR yake mngelalamika analeta Uhaya!
Wewe jamaa ndio maana wengine tumebaki wa kusoma tu comments...Tuambie ni gari aina gani kwanza,isije ikawa una kifaa cha kukusogeza kutoka sehemu moja kwenda nyingine unasema ni gari, kumbe umechanganya...
JK popote ulipo nakutakia kheri ya mwaka mpya.Simu na laptop nilinunua kipindi cha kikwete!!
Hakuna uhusiano na alichooandika Mleta Mada. Mleta mada hajazungumzia kusahau. Umeleta tu stories zisizo na msingi na za utoto. Yeye anazungumzia battery yake je imekufa sababu ya taa kuwaka. Wewe leo hii unaona gari ,laptop ni issue ya kututangazia? Very stupid. Nyie kwa nini hampendi kupata elimu mkaelimilika?Aiseeeee mambo ya kusahau ni hatari ,leo sijui ingekuwaje ,gari ilikuwa imepaki kwenye jua muda mrefu wakati wa kuiwasha nikashusha vioo vyote kuondoa joto kwanza ,katika kupandisha nikasahau kupandisha kioo kimoja cha nyuma ,nikatembea umbali mrefu kidogo kagiza giza mpaka kakaingia.
Nikafika sehemu nikaipaki ili nichukue mazagazaga ya kwenda home nayo ,nikaacha simu mbili kwenye kiti cha abiria mbele Smart na Kitochi na pia nikaacha Laptonga ila niliiweka chini ya kiti...Nikapotea kutafuta Mazagazaga kama 15mins hivi,ile narudi kuangalia daaaaah dirisha la nyuma lipo wazi,kitu cha kwanza ni kufungua mlango na kuangalia chini kama laptop ipo ,aiseee sikuamini niliikuta ,nikaangalia mara tatu kama ni kweli au macho yangu yanaona vibaya,baada ya hapo ndio nikaangalia simu nazo zilikuwepo.
Nafikiri giza watu walihisi ni TINT ndio maana hawajajua kama kioo kilikuwa hakijafungwa....USAWA huu wa Mi5 tena ningetoa wapi hela ya kununua Laptop na Smart Phone? Simu na laptop nilinunua kipindi cha kikwete!!
Habari, sorry wakuu naomba kufahamishwa juu ya hii kitu, jana kwa bahati mbaya baada ya kupaki Gari nilisahau kufunga mlango wa nyuma(Buti) kwa zaidi ya masaa 8, asubuhi wakati nawasha gari iligoma kupiga starter hadi nilipo jaribu kubustiwa ila pia kwanzia hapo gari haishushi vioo yani power window zimegoma kufanya kazi, naomba kufahamu haya machache.
1. Haya yote ni matokeo ya Battery kufa baada ya kusahau mlango?
2. Kuna uwezekano Alternator ya Gari imeanza dalili za kutaka kufa?Zipi dalili za Alternator kuwa weak ?
JK popote ulipo nakutakia kheri ya mwaka mpya.
Kweli mkuu @PRONDOWabongo bhana angesema RR yake mngelalamika analeta Uhaya!
Battery imechoka hiyo ila sio kwamba imekufa cha msingi itoe nenda kaichaji masaa 4 rudisha itakua poa.Habari, sorry wakuu naomba kufahamishwa juu ya hii kitu, jana kwa bahati mbaya baada ya kupaki Gari nilisahau kufunga mlango wa nyuma(Buti) kwa zaidi ya masaa 8, asubuhi wakati nawasha gari iligoma kupiga starter hadi nilipo jaribu kubustiwa ila pia kwanzia hapo gari haishushi vioo yani power window zimegoma kufanya kazi, naomba kufahamu haya machache.
1. Haya yote ni matokeo ya Battery kufa baada ya kusahau mlango?
2. Kuna uwezekano Alternator ya Gari imeanza dalili za kutaka kufa?Zipi dalili za Alternator kuwa weak ?
Mkuu indicator ya mlango wazi inatumia nguvu ndogo sana, haiwezi kumaliza battery ndani ya masaa 8.Habari, sorry wakuu naomba kufahamishwa juu ya hii kitu, jana kwa bahati mbaya baada ya kupaki Gari nilisahau kufunga mlango wa nyuma(Buti) kwa zaidi ya masaa 8, asubuhi wakati nawasha gari iligoma kupiga starter hadi nilipo jaribu kubustiwa ila pia kwanzia hapo gari haishushi vioo yani power window zimegoma kufanya kazi, naomba kufahamu haya machache.
1. Haya yote ni matokeo ya Battery kufa baada ya kusahau mlango?
2. Kuna uwezekano Alternator ya Gari imeanza dalili za kutaka kufa?Zipi dalili za Alternator kuwa weak ?