Kusahau kufunga Mlango wa Gari kunaweza kuua/ kuathiri uzima wa Battery ya Gari

Excel mkuu ,kuhifadhi Mahesabu , Madeni ya wateja , Order za wateja ,Gharama za production ,Stocks ,Daily Operation cost zote naziandika kwenye excel...Mali bila daftari(excel) hupotea bila habari.
Good mkuu, mchanganuo mzuri.
Ingawa niliingiza kautani tu 😁
 
Ukiacha mlango wazi au hta taa ikiwa inawaka kwa muda mrefu battery huwa inanyonywa,kuhusu hilo swala la vioo kutopanda au kushuka mara nying inatokea ukibadlisha/kuweka battery gari hupoteza kumbukumbu ndio maana unaweza kuona hta saa itabadlika majira..
Kusolve swala la vioo kutopanda,fanya hivii.. muwe watu wawili mmoja anashusha upnde wa mpango hucka mwengine anashusha kwny switch ya ule ule mlango kwa kutumia button iliyopo upande wa dereva.. wote kwa pamoja mnashusha mpk chini,then mnapandisha mpaka juu kwa pamoja.. Tatzo lako ya vioo litakuwa solved[emoji56]
 
Asante kwa ushaur wako nimetibu tatizo kama hilo ila bado kioo kimoja kikifika juu kinajishusha badala ya ku stop
Au kukishusha
 
Wangekusuuza tu, sema laptop sio rahisi wangeiba simu tu laptop unless ungekuwa umeifungasha na miwayawaya inayoonekana kirahisi.
 
Kila mtu awaze na kufikiri km wew.....pumbafu heshimu maoni ya mwenzio we ni nani mpaka uwapangie wenzio cha kuandika,vitu vingine km havikuhusu unapita.Alaf unaonekana uelewa wako finyu,unawezaje kutofautisha siasa na maisha yako ya kila siku?Siasa sio proffesion za watu jinga wew
 
Utatumia IDs zako zote kujisupport πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ bado zile nyingine. Unatokwa povu sehemu zako za mwili zote zenye uwazi...... Kwa nini unateseka na upumbavu wote huo? Unakusaidia nini?
 
Huenda battery imeshakufa, haina uwezo wa kutunza moto kwa muda mwingi...

Vile vile cheki alternator kama inafanya kazi vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…