S SAIZI YANGU JF-Expert Member Joined Nov 8, 2013 Posts 381 Reaction score 83 Jan 17, 2014 #1 Kusahau ni kubaya, kwani kwatia majuto, kwamtia mtu haya, uchekwe kama mtoto, kunapoteza hedaya, yenye kuleta kipato mtu atafuta shoka, kumbe lipo mabegani
Kusahau ni kubaya, kwani kwatia majuto, kwamtia mtu haya, uchekwe kama mtoto, kunapoteza hedaya, yenye kuleta kipato mtu atafuta shoka, kumbe lipo mabegani