SAIZI YANGU
JF-Expert Member
- Nov 8, 2013
- 381
- 83
Kusahau ni kubaya, kwani kwatia majuto,
kwamtia mtu haya, uchekwe kama mtoto,
kunapoteza hedaya, yenye kuleta kipato
mtu atafuta shoka, kumbe lipo mabegani
kwamtia mtu haya, uchekwe kama mtoto,
kunapoteza hedaya, yenye kuleta kipato
mtu atafuta shoka, kumbe lipo mabegani