Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na ukitunyima tunakuroga na hela ya kukurogea hujui tumepata wapi ila tutakuvimbisha tumbo kisa ulitunyima alfu kumi..😅Ila ukweli usemwe ss ambao tunezaliwa kwenye koo ambazo hazipo vzr kiuchumi/maskini zinachangia kuturudsha nyuma kuna mda mpka unahsi tutakua maskini siku zote hz
[emoji16][emoji16] yaan dah familia zetu jau sana afu kama wana mashetani vile ukipata hela tu simu za matatzoNa ukitunyima tunakuroga na hela ya kukurogea hujui tumepata wapi ila tutakuvimbisha tumbo kisa ulitunyima alfu kumi..[emoji28]
Kusaidia ndugu hakumfanyi mtu kuwa fukara au masikini,mfano mzunguko wako kwa mwezi milioni 1 kwa mwaka milioni 12 ukitoa milio 4 kuwa saidia ndugu zako unabakiwa na milioni sittaIla ukweli usemwe ss ambao tunezaliwa kwenye koo ambazo hazipo vzr kiuchumi/maskini zinachangia kuturudsha nyuma kuna mda mpka unahsi tutakua maskini siku zote hz
Huna hela wewe tangulini mwenye hela hakashindwa kumsaidia nduguye[emoji16][emoji16] yaan dah familia zetu jau sana afu kama wana mashetani vile ukipata hela tu simu za matatzo
Sent using Jamii Forums mobile app
kiukweli sina hela ndo kwanza natafuta na Nimekuambia kuwa sisaidii..? Lazma niwasaidie nawasaidia kila kwenye tatzo ila na mm mambo yangu hayaendi sas unapopta pesa ndgu amepata changamoto inabd usimamishe mambo yaKoHuna hela wewe tangulini mwenye hela hakashindwa kumsaidia nduguye
Ufahamu wa kishenzi kudhani kumsaidia ndugu kunakifanya kuwa masikiniNa ukitunyima tunakuroga na hela ya kukurogea hujui tumepata wapi ila tutakuvimbisha tumbo kisa ulitunyima alfu kumi..[emoji28]
Wewe huna wambie sina bado ufukara wewekiukweli sina hela ndo kwanza natafuta na Nimekuambia kuwa sisaidii..? Lazma niwasaidie nawasaidia kila kwenye tatzo ila na mm mambo yangu hayaendi sas unapopta pesa ndgu amepata changamoto inabd usimamishe mambo yaKo
Ni kweli uliyosema na hvhv tunafanya sio kwamba hatusaidii hapana ila kwa ss ambao tunaunga unga mjini hatujaajirowa ni ngumu sana kuna mda unakaa mdani week mbili hupati kazi unapopata kikaz kuna changmoto znatokea inabd usaidie ndg hata kwa kidgKusaidia ndugu hakumfanyi mtu kuwa fukara au masikini,mfano mzunguko wako kwa mwezi milioni 1 kwa mwaka milioni 12 ukitoa milio 4 kuwa saidia ndugu zako unabakiwa na milioni sitta
Bimana kila mwaka utawasaidia ndugu zako hata 2 kuwapeleka veta hata kuwapa hela ya kupanua kilimo kwa miaka 3 utakuwa umewasaidia bado na wewe mzunguko wako utakuwapo tu wote hawa matajiri unao waona wanasaidia sana ndugu zao mpaka ukweni wanasaidia shemeji zao hata marafiki lakini mali inakuwepo ukiona mzunguko wako hauwezi kumsaidia ndugu yako tambua wewe ni fuara wa badae
HAhahahaha ukata huuWewe huna wambie sina bado ufukara wewe
Swala la kusaidia ndugu linahitaji umakini kwa mtu unayetaka kumsaidia maana pesa inaweza ishia kwenye sketiHuna hela wewe tangulini mwenye hela hakashindwa kumsaidia nduguye
Huo ndio ukweli mfano angalia waarabu wanavio bebana lakini mali zinazidi kuwepo tu hata kama baba yao alizaa mtoto huko mitaani watampachika kwenye kitengo fulani hata kukagua tiketi kwenye basi hili wafiche aibuHAhahahaha ukata huu