Kusaidia ndugu hakumfanyi mtu kuwa fukara au masikini,mfano mzunguko wako kwa mwezi milioni 1 kwa mwaka milioni 12 ukitoa milio 4 kuwa saidia ndugu zako unabakiwa na milioni sitta
Bimana kila mwaka utawasaidia ndugu zako hata 2 kuwapeleka veta hata kuwapa hela ya kupanua kilimo kwa miaka 3 utakuwa umewasaidia bado na wewe mzunguko wako utakuwapo tu wote hawa matajiri unao waona wanasaidia sana ndugu zao mpaka ukweni wanasaidia shemeji zao hata marafiki lakini mali inakuwepo ukiona mzunguko wako hauwezi kumsaidia ndugu yako tambua wewe ni fuara wa badae