Umiza kichwa zaidi ya hapo! Sina maana unayoitaka wewe!tunajua umeleta uzi ili tukusaidie kujustify ubinafsi wako
wacha roho mbaya tenda wema nenda zako. Aliyekupa wewe Riziki ndo kamnyima mwingine na Riziki ya binadamu ipo kwa binadamu mwingine.
Shukuru Mungu kukupa Riziki ambayo unaweza ata kushare na mwingine na omba sana asikunyang'anye akampa mwingine, maji utayai
sina muda wa kuumiza kichwa ili kujustify ubinafsi wako,Umiza kichwa zaidi ya hapo! Sina maana unayoitaka wewe!
No good deed goes unpunished!
Ila ukweli usemwe ss ambao tunezaliwa kwenye koo ambazo hazipo vzr kiuchumi/maskini zinachangia kuturudsha nyuma kuna mda mpka unahsi tutakua maskini siku zote hz
Na ukitunyima tunakuroga na hela ya kukurogea hujui tumepata wapi ila tutakuvimbisha tumbo kisa ulitunyima alfu kumi..[emoji28]
[emoji16][emoji16] yaan dah familia zetu jau sana afu kama wana mashetani vile ukipata hela tu simu za matatzo
Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini kuna mda unakuta n dadaangu wa tumbo moja af ako na mtot mdg dah kumkataa huwaga nashndwa kbsa alozaa nae hakai nae sjui hawaelewan sas unajikuta huna namna damu nzto kuliko majiNarudia tena USIWAPE PESA AU MSAADA WAKO WOWOTE
ACHANA NAO!
Waswahili sisi ukimuweka ndugu kwenye biashara yako anakuibia ukimpeleka polisi ndugu wanachachamaa wanakuona una roho mbaya unataka kumfunga ndugu yako kisa kaiba cha ndugu yake tena ukimpeleka polisi polisi hao hao wanakwambia ebu mkaongee kifamilia myamalize wakati waarabu, wachina, wahindi wakimuweka mahali kwenye kazi/biashara akiiba familia na ukoo mzima unamtenga... Sisi hatupo serious.Huo ndio ukweli mfano angalia waarabu wanavio bebana lakini mali zinazidi kuwepo tu hata kama baba yao alizaa mtoto huko mitaani watampachika kwenye kitengo fulani hata kukagua tiketi kwenye basi hili wafiche aibu
Duh hy ndo alosema mdau mmoja apo juu ukiacha kukusaidia wanakuroga sa sjui wanataka niniHapo itabidi uwe mzungu tu
Kila mtu na kwake!
Mimi mwenyewe nilikuwa victim wa kusaidia ndugu zangu, nikawa sijui vile ninavyo wasaidia ndivyo wanavyo kuchukia!
Mbaya zaidi walinigeukia na kutaka kuniuwa, bali Mwenye Enzi Mungu wangu akaniokoa kwenye tundu la simba walahi!
Kusaidia ndugu hakumfanyi mtu kuwa fukara au masikini,mfano mzunguko wako kwa mwezi milioni 1 kwa mwaka milioni 12 ukitoa milio 4 kuwa saidia ndugu zako unabakiwa na milioni sitta
Bimana kila mwaka utawasaidia ndugu zako hata 2 kuwapeleka veta hata kuwapa hela ya kupanua kilimo kwa miaka 3 utakuwa umewasaidia bado na wewe mzunguko wako utakuwapo tu wote hawa matajiri unao waona wanasaidia sana ndugu zao mpaka ukweni wanasaidia shemeji zao hata marafiki lakini mali inakuwepo ukiona mzunguko wako hauwezi kumsaidia ndugu yako tambua wewe ni fuara wa badae
Huna hela wewe tangulini mwenye hela hakashindwa kumsaidia nduguye