Nshomile wa Muleba
JF-Expert Member
- Dec 5, 2015
- 2,166
- 5,620
ww uliyesoma kwa kuchangiwa ada ya masomo una haki hyoHivi kweli kuna haja ya kuuliza kama kusaidia ndugu ni wajibu ?! Ni wajibu na lazima, huwezi acha kuwasaidia ndugu zako na unawajibika kufanya hivyo. Kwani wao hawana wajibu wa kukusaidia wewe?
Unajuaje kama misaada ya ndugu ilipitia kwa wazazi wako....??ww uliyesoma kwa kuchangiwa ada ya masomo una haki hyo
mm nimesoma kwa hela za baba na mama yangu na cjawahi changiwa hata mia ya ndugu ...nitasaidia hao wazazi ila c ndugu yyte ...
maana najua kuwa hata leo hii MUNGU akinichukua hakuna wa kunisaidia familia ni mke wangu atapambana na familia
Kwa andiko hili naamini wewe ni mcha Mungu na bila shaka ni mtu mwenye mafanikio. What a great thinker! Thanks.Kama umesaidiwa nawe saidia... huo ni utu
Kama hujasaidiwa na una uwezo wa kusaidia, saidia.. huo ni ubinadamu
Kama umesaidiwa na huna uwezo wa kusaidia, usisaidie... huo ni umaskini
Msaada ni hiari, kwa wengine ni sadaka na kwa wengine ni kutafuta kiki
Uamuzi ni wako, hakuna anayekulazimisha.... kutotoa msaada sio kosa kisheria
Relax, vuta pumzi. Maisha ni hayahaya.... Ishi utakavyo
Nimeona sehem nyingi, familia nyingi na hata mmoja wa polisi aliyefariki kwa tukio la Juzi inaonesha kua alikua tegemeo la familia nzima mpaka mtoto wa kaka yake.
Hoja yangu ni moja.
Hii ni tamaduni au ni vipi!?
Unamaliza shule, unapata kazi baada ya hapo unatakiwa kusaidia familia nzima na ndugu wa pembeni(kitanzania)
Mtazamo wangu:
hii ni moja ya kurudishana nyuma kimaendeleo
Nilidhani ni vema iwe kutazama future ya yako kwanza na kuhudumia/kusaidia wengine isiwe ni wajibu/lazima bali iwe HIYARI kulingana na uwezo wa mtu.
Nadhani ilifike hatua tujue kusaidiana inategemea na mfuko wa yule unayetaka akusaidie hivyo sio lazima sababu ilivyo sasa mtu akishajua una ka ajira basi ye moja kwa moja anajua uwezo wa kumpatia akitakacho kwa muda autakao inawezekana huku akiwa hajui hata kipato / mipango iko vipi kutokana na hicho ukipatacho.
Na hii ndo mwisho inaletaga kutokuelewana kisa tu mtu amehitaji msaada kisha ukamwambia sina kwa wakati huo.