kuna wengine TENDO LA NDOA LINAANZIA KWENYE KUFULIANA CHUPI!...sasa utafanya gani hapo dokta remmy?ππJamani hii ya haki sawa inavuka mpaka..... kusaidiana hadi kufualiana chupi? hii si sawasawa, dada unahitaji kujirekebisha not to that much!! huoni hata aibu kuleta hiyo thread yao hapa. khaaaaaa
kusoma najua!lakini I CAN'T READ BETWEEN THE LINES
Jamani hii ya haki sawa inavuka mpaka..... kusaidiana hadi kufualiana chupi?
mmmhkuna wengine TENDO LA NDOA LINAANZIA KWENYE KUFULIANA CHUPI!...sasa utafanya gani hapo dokta remmy?ππ
ikupishie mbali kabisayaani mi niingie september conference! kha! halafu siku hizi hujui kusoma mpwa ama nini?
Yaani B, kweli mi wa kudisco? π
mmmh
ikupishie mbali kabisa
hapana kwani we ni kilaza sas??!!
si u know me B! ,,,,,,ππ
si u know me B! ,,,,,,ππ
tena kiundani etii B!!!
πππ
I AM STILL WATCHING!...a report to be compiled soon
Najaribu kuimagine hiyo chupi ya kulowekwa usiku kucha ndipo ifuliwe itakuwa imevaliwa kwa siku ngapi? To me kufua a single chupi ni kazi ya dakika kama tano tu!
..........Huyo mwanaume mchafu na mbinafsi, kama yupo likizo kwa nini asikusaidie kazi? Wanaume kama hao wanabore sana,kila kitu anataka kufanyiwa kwani wewe umekuwa mtumwa kwake?Wana Jfs nalileta hili ombi nisaidieni kumuelimisha my best friend wangu...
Story yenyewe iko hivi nanukuu tukiwa kama mume na mke tunatakiwa kusaidiana, kwa mfano umeamka asuhuhi umekwenda kazini jana yake umeloweka nguo zenu za ndani asubuhi yake kwa sababu umechekewa kazini ukashindwa kuzifua ukampigia simu mume ambaye yupo likizo ukamuomba akusaidie kufua...akasema sawa uliporudi home ukazikuta kama ulivyoziacha ukaamua umuulize akakuambia tokea asubuhi ashinde hapo home hakuingia bafuni/****** so alisahau hakuziona...mara ugomvi unaanza niache uchafu na mimi ni mvivu sasa hapo ni nani ana makosa...wakati nikiwa kazini nilimuomba anisaidie...na ndoa ni kusaidiana jamani..kuingia tuu chumbani kwetu ambapo ni master afue hizo nguo anaona haya!!please naomben ushauri wenu maana imeniuma sana...
Some advice!
From Friend...
..........Huyo mwanaume mchafu na mbinafsi, kama yupo likizo kwa nini asikusaidie kazi? Wanaume kama hao wanabore sana,kila kitu anataka kufanyiwa kwani wewe umekuwa mtumwa kwake?
WTF is going on here? did i keep walking around inside ur mind Akili...huyo mwanmke ni mchafu na anastahili talaka.................. mwanaume afue vitasa???????????????? labda yule wa noname......................... shame shame.............. shameful..............