Kusaidiana kwenye ndoa...

Kusaidiana kwenye ndoa...

Kimey,

Maswali mengine yanaleta mashaka kwamba huenda hizo nguo unazoongelea huzijui vizuri zaidi ya kuona zinavuliwa na kuvaliwa wakati wa kufanya vitendo visivyo halali. Vikishakuwa halali utajua. Siyo jinsi ya kuzivua na kuzivaa tu, bali hata ufuaji wake na utunzaji kwenye drawers zao. Vingenevyo inawezekana hapa watu wengine wanaongelea GFs and BFs wakati mjadala unahusu wenye ndoa.
Naona unatumia nguvu za hoja!! we umeongelea upande wako na sie tumeongelea upande wetu kila mtu ana msimamo wake kwenye familia so ndo maana hapa hatuwezi elewana!
 
manyuki tena inakuwaje Binamu maralia inapenda maralia inashuka?

Hahahaha manyuki hizi ni zile lager za moto moto unachemka hapo hapo ukifika chawote unahamia za bariiiiiiiiiidi unashusha sasa manundu. Na Valuu juu unapoozea kabisa mbona kama Chuda vile.
 
Tumbo likifuluga bana ile kitu haina break zote zinakuwa hazishiki suruhisho ni NEPI tu au pampers
MAGONJWA KIBAO NIMEONA!ukitaka kuifeel hii chapa raba mpaka muhimbili au PERAMIHO-songea...you will be shocked bana!

lakini mwisho wa siku WANAWAKE NDIO WAHANGA WA MATATIZO YOTE,MAANAKE WAO MARA NYINGI HUWA WANAKUWA WA-MWISHO KUFA.
 
lakini mwisho wa siku WANAWAKE NDIO WAHANGA WA MATATIZO YOTE,MAANAKE WAO MARA NYINGI HUWA WANAKUWA WA-MWISHO KUFA.

Mkuu usinikumbushe machungu
icon9.gif
icon9.gif
icon9.gif
 
Mkuu usinikumbushe machungu
icon9.gif
icon9.gif
icon9.gif
tuendelee na sredi bana!

USHAURI WANGU!...HAWA WANAWAKE TUWAHESHIMU TU JAMANI,.tusiweke theories katika maisha ambayo ni dynamic.kuna muda utafika ambao mkeo atakutawaza kabisa(utakuwa huwezi kufanya hivyo)....!na kuna muda ambao mimi kama mume NITAWAJIBIKA VIVYO HIVYO
 
tuendelee na sredi bana!

USHAURI WANGU!...HAWA WANAWAKE TUWAHESHIMU TU JAMANI,.tusiweke theories katika maisha ambayo ni dynamic.kuna muda utafika ambao mkeo atakutawaza kabisa(utakuwa huwezi kufanya hivyo)....!na kuna muda ambao mimi kama mume NITAWAJIBIKA VIVYO HIVYO
Taraaaaatibu umefika, thanks again binamu.
 
nakujuaga kwa kuacha vihomuweki wewe.......



hahaaaa wapi??? tukimkamata anadesa anadisco au sapu kwa huruma ya baraza............


Yaani B, kweli mi wa kudisco? 😀
 
Jamani hii ya haki sawa inavuka mpaka..... kusaidiana hadi kufualiana chupi? hii si sawasawa, dada unahitaji kujirekebisha not to that much!! huoni hata aibu kuleta hiyo thread yao hapa. khaaaaaa
 
Back
Top Bottom