Kusaidiana kwenye ndoa...

Kusaidiana kwenye ndoa...

Mwanamke hata kama anataka anaweza kuuchuna mpka mwanaume aanzishe.Mim nina ushahidi.

Inaonyesha wewe mchoyo sana ngoja jamaa arudi hapa atuthibitishie maana mmmh nimestuka.
 
Hahahahaaaa.mnajidanganya,wanawake huwa wanaweza kuvumilia sana hiyo kitu.Ebu niambieni nani huwa anaanzisha mchezo? mwanaume au mwanamke? Mwanamke hata kama anataka anaweza kuuchuna mpka mwanaume aanzishe.Mim nina ushahidi.
hehehehe!....haya KANYAGA TWENDE MAMA.....
 
Hahahahaaaa.mnajidanganya,wanawake huwa wanaweza kuvumilia sana hiyo kitu.Ebu niambieni nani huwa anaanzisha mchezo? mwanaume au mwanamke? Mwanamke hata kama anataka anaweza kuuchuna mpka mwanaume aanzishe.Mim nina ushahidi.
😕😕!!!!!! He!
Angalia mkuu unaweza ukatikisa alafu njiti zikatoka ukawa unatikisa ganda tu.
Kiongozi kuna nafasi za kazi zimetangazwa URAFIKI pale. Hayo maneno yakikaa kwa khanga yatapendeza sana.
 
😕😕!!!!!! He!

Kiongozi kuna nafasi za kazi zimetangazwa URAFIKI pale. Hayo maneno yakikaa kwa khanga yatapendeza sana.
hayo ni madhara ya kulala na wanawake wa tanga😀😀
usiku kucha mipasho na methali mpya na tamathali za semi
 
We unaamini watu wanayoyaandika humu ndiyo maisha wanayoishi? 😱😱
Stuka!

Siyo wote wanaandika wanayoyafanya au hata kuamini. Kuna wengine wanasukuma mjadala na muda pia.Binafsi sioni kama kuna motive ya kufanya usanii! Nachukulia kuwa huu mjadala ni kwa ajili ya kubadilishana uzoefu.

Mkuu hili swali linapendeza sana akilijibu Dark City.
Hahahaha! Nimecheka mpaka najisikia kuzimia.
Ngoja nikatafute kavaluu nitulize mzuka.

Nimejibu hapo juu.

Nchi gani?

Hili ngoja atakujibu Dark City.

Dawa yake iko jikoni huyu😕

Binafsi naongelea uzoefu wangu kwenye maisha yangu ya kila siku. Sifanyi comedy. Sina sababu ya kufanya hivyo. Kwa hiyo mimi nafua na kufanya kazi nyingine home na boys wetu tunawafundisha hivyo. Labda tuanze mjadala wa kufuatilia kama tuaandika ya kweli.

Ila niweke wazi kuwa hii ni strategy binafsi ya maisha yangu kwa sababu naamini kuwa mke wangu siyo mtumishi wangu na siyo kila siku atakuwa nami kunisaidia. Nilifanya kazi zangu zote kabla ya ndoa na sioni sababu ya kutofanya baadhi ya kazi hadi sasa kutegemeana na muda. Sikumpa nafasi wife kunifanyia kazi yoyote wakati wa uchumba kwa sababu sikuwa natafuta mtumishi wa ndani. Naendelea kuzifanya kila ninapopata nafasi na ndiyo maana kwangu ndoa ni suala la makubaliano ya leo leo. Kama kitu hakieleweki basi kila mtu aanze. Kazi zote zitaenda kama kawaida na huduma nyingine zitapatikana kwa wazabuni wengine.
 
Kiongozi kuna nafasi za kazi zimetangazwa URAFIKI pale. Hayo maneno yakikaa kwa khanga yatapendeza sana.

Dah hili nalo neno ngoja nifukuzie kibarua cha kuwapelekea maneno pale.
 
Siyo wote wanaandika wanayoyafanya au hata kuamini. Kuna wengine wanasukuma mjadala na muda pia.Binafsi sioni kama kuna motive ya kufanya usanii! Nachukulia kuwa huu mjadala ni kwa ajili ya kubadilishana uzoefu.

Nimejibu hapo juu.

Binafsi naongelea uzoefu wangu kwenye maisha yangu ya kila siku. Sifanyi comedy. Sina sababu ya kufanya hivyo. Kwa hiyo mimi nafua na kufanya kazi nyingine home na boys wetu tunawafundisha hivyo. Labda tuanze mjadala wa kufuatilia kama tuaandika ya kweli.

Ila niweke wazi kuwa hii ni strategy binafsi ya maisha yangu kwa sababu naamini kuwa mke wangu siyo mtumishi wangu na siyo kila siku atakuwa nami kunisaidia. Nilifanya kazi zangu zote kabla ya ndoa na sioni sababu ya kutofanya baadhi ya kazi hadi sasa kutegemeana na muda. Sikumpa nafasi wife kunifanyia kazi yoyote wakati wa uchumba kwa sababu sikuwa natafuta mtumishi wa ndani. Naendelea kuzifanya kila ninapopata nafasi na ndiyo maana kwangu ndoa ni suala la makubaliano ya leo leo. Kama kitu hakieleweki basi kila mtu aanze. Kazi zote zitaenda kama kawaida na huduma nyingine zitapatikana kwa wazabuni wengine.
i like that pal!PAMOJAAAZ
 
unamnyima siku mbili tatu tu!mwanamke anaeamua kutoka nje mara nyingi huwa anakuwa amevumilia saaaaaaaaaaaaaanaaaaaa,hata miaka mitatu.

...hii unatingisha tu kibiriti😀

Umejaribu hicho kitu au unongea hypothetically? Kuna wengine hata mwenzi hawana habari. Wao wanacheza na watoto na kujishulisha na nguo zao kwenye wardrobes. Usije ukajikuta unaanza kutoa machozi ndugu yangu kwa kuanzisha vita ya mayai na mawe wakati wewe mwenyewe ni yai!
 
umejaribu hicho kitu au unongea hypothetically? Kuna wengine hata mwenzi hawana habari. Wao wanacheza na watoto na kujishulisha na nguo zao kwenye wardrobes. Usije ukajikuta unaanza kutoa machozi ndugu yangu kwa kuanzisha vita ya mayai na mawe wakati wewe mwenyewe ni yai!
😀😀
 
Binafsi naongelea uzoefu wangu kwenye maisha yangu ya kila siku. Sifanyi comedy. Sina sababu ya kufanya hivyo. Kwa hiyo mimi nafua na kufanya kazi nyingine home na boys wetu tunawafundisha hivyo. Labda tuanze mjadala wa kufuatilia kama tuaandika ya kweli.

Mi napenda challenge. So sometimes naongelea uzoefu wangu wa maisha ya kila siku na wakati mwingine tofauti kabisa na hali halisi. Inanisaidia kupata uzoefu kwa wengine na kuboresha pale napoona nilikwenda kinyume.

Pamoja mkuu.

Ila Makufululi sifui!
 
Binafsi naongelea uzoefu wangu kwenye maisha yangu ya kila siku. Sifanyi comedy. Sina sababu ya kufanya hivyo. Kwa hiyo mimi nafua na kufanya kazi nyingine home na boys wetu tunawafundisha hivyo. Labda tuanze mjadala wa kufuatilia kama tuaandika ya kweli.

Ila niweke wazi kuwa hii ni strategy binafsi ya maisha yangu kwa sababu naamini kuwa mke wangu siyo mtumishi wangu na siyo kila siku atakuwa nami kunisaidia. Nilifanya kazi zangu zote kabla ya ndoa na sioni sababu ya kutofanya baadhi ya kazi hadi sasa kutegemeana na muda. Sikumpa nafasi wife kunifanyia kazi yoyote wakati wa uchumba kwa sababu sikuwa natafuta mtumishi wa ndani. Naendelea kuzifanya kila ninapopata nafasi na ndiyo maana kwangu ndoa ni suala la makubaliano ya leo leo. Kama kitu hakieleweki basi kila mtu aanze. Kazi zote zitaenda kama kawaida na huduma nyingine zitapatikana kwa wazabuni wengine.
Safi sana.Baelezee DC.wewe ni mfano wa kuigwa.Big up bro.
 
Acha tu mkuu ishu nyingine we zione ivi ivi tuu!!

Kimey,

Maswali mengine yanaleta mashaka kwamba huenda hizo nguo unazoongelea huzijui vizuri zaidi ya kuona zinavuliwa na kuvaliwa wakati wa kufanya vitendo visivyo halali. Vikishakuwa halali utajua. Siyo jinsi ya kuzivua na kuzivaa tu, bali hata ufuaji wake na utunzaji kwenye drawers zao. Vingenevyo inawezekana hapa watu wengine wanaongelea GFs and BFs wakati mjadala unahusu wenye ndoa.
 
Ndege wa aina moja huruka pamoja.
MIMI NA FIDEL SI NDEGE WA AINA MOJA!.....if you know what i am saying🙂D😀(on the veery serious note:M..H..K.. NI MEMBA WA JF😀)
 
Back
Top Bottom