Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,947
- 4,470
Kama huu naoutoa hapa kuwa mimi sijawahi, sifui, na wala sitegemei kufua kufuli la mai waifu!
Misimamo kama hii ndo inayo hitajika kwa mwanaume unakuwa na msimamo wako na unausimamia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama huu naoutoa hapa kuwa mimi sijawahi, sifui, na wala sitegemei kufua kufuli la mai waifu!
wanakuwa wamelowa kweli hawa wanaume!
ninachokijua mimi wanaume pamoja na misuli yao WAKIWA MBELE YA WAKE ZAO-utawahurumia!.....
mungu alitumia akili ya ziada sana kumuumba mwanamke
hili swala lipo sana kwa brain yangu ati!....😀Ndo maana wazungu walitengeneza washing machine! Hakuna taabu hii!
i love this.Ndo maana wazungu walitengeneza washing machine! Hakuna taabu hii!
ha ha ha Mkuu ivi inakuaje mpaka anakua hajaifua wakati anaoga?then uje ufue wewe!! hii sasa itakua ni mtego tu!!Kama huu naoutoa hapa kuwa mimi sijawahi, sifui, na wala sitegemei kufua kufuli la mai waifu!
ha ha ha Mkuu ivi inakuaje mpaka anakua hajaifua wakati anaoga?then uje ufue wewe!! hii sasa itakua ni mtego tu!!
Msisahau ishu hapa si kufua tu,ni pamoja na kubadilisha pampas,kupika na majukumu mengine ya ndani mengi.Ndo maana wazungu walitengeneza washing machine! Hakuna taabu hii!
ha ha ha mitego mingine bana kutafutiana lawama tuu!! dah sasa ndo tutegeane kwenye makufuli ha ha ha!!Upendo mkuu unamitihani mingi kwa kweli unaweza tegeshewa hapo kama unaupendo wa kichina utajulikana.
ha ha ha mitego mingine bana kutafutiana lawama tuu!! dah sasa ndo tutegeane kwenye makufuli ha ha ha!!
i doubt kama AK atataka hao watoto wabaki, manake hataweza kuwahudumia,atasema ni kazi ya mkewe hivo waende na mama yao, then wakikua ataanza kujisifu yeye ni baba ana watoto wakubwa,wakati hakuchangia hata sent moja. hoooi ubaba ni zaidi ya kuweka mbegu pale wajameni.
Kama huu naoutoa hapa kuwa mimi ni kawaida nafua, na ntaendelea kufua kufuli la mai waifu!
Msisahau ishu hapa si kufua tu,ni pamoja na kubadilisha pampas,kupika na majukumu mengine ya ndani mengi.
ha ha ha haHahahaha sio makufuli tu hata zile zingine zile nazo unaachiwa ukatupe kuna sidiria mzeee shumizi sijui.
Hawa wanaitwa wanaume surual suruali.i doubt kama AK atataka hao watoto wabaki, manake hataweza kuwahudumia,atasema ni kazi ya mkewe hivo waende na mama yao, then wakikua ataanza kujisifu yeye ni baba ana watoto wakubwa,wakati hakuchangia hata sent moja. hoooi ubaba ni zaidi ya kuweka mbegu pale wajameni.
Hawa wanaitwa wanaume surual suruali.
Hapo sasa? Tena wakati mwingine mtoto anahitaji kubadilishwa pempasi usiku wa manane na wote mmesinzia baada ya uchovu wa kazi za kutwa. Sijui mtu unawezaje kuhalalisha kumtegea mke wake ambadilishe mtoto kila siku? Halafu kuna kasheshe la watoto wachanga sana, wanalala mchana na kuwa macho usiku. Inafikia wakati wa kupeana zamu za kukaa na mtoto. Hapo pia inakuwaje mtu alete visingizio wakati mama ndo baado hajapona uchovu wa kujifungua. Kuna mambo mengi sana kwenye nyumba, ni machine tu inayoweza kuachiwa ifanye kila kitu.
Naona umeamua kujenerolaizi siyo? Na wewe inclusive siyo? Si kwa mshiki yule nayemjua lakini. Labda kuna mwingine.....! Ngoja nivute pumzi kidogo!wanakuwa wamelowa kweli hawa wanaume!
ninachokijua mimi wanaume pamoja na misuli yao WAKIWA MBELE YA WAKE ZAO-utawahurumia!.....
mungu alitumia akili ya ziada sana kumuumba mwanamke
Naona umeamua kujenerolaizi siyo? Na wewe inclusive siyo? Si kwa mshiki yule nayemjua lakini. Labda kuna mwingine.....! Ngoja nivute pumzi kidogo!